PICHA: Dkt Jakaya Mrisho Kikwete Akimtambulisha Mwanae Ridhiwani Kikwete kwa Rais Samia

Your browser is not able to display this video.
 
wadhalimu wote wanaodhulumu taifa la mungu hakika WATAKUFA asema Bwana.
 
Anastaafu lini mzee wetu wa msoga? Mana duniani kote sio rahisi kumuona raisi mstaafu kwenye hafla za Rais aliyepo madarakani labda kwa uchache sana naona Mkwere ana enjoy kuwa mstaafu peke aliyebaki, tunamtakia maisha marefu sana JK ni Rais bora kuwahi kuwa Nae nchini hapa
 
Connections… zinaanza hiv hiv
 
Upuuzi tu na ww watakutambulisha mshamba wa milimani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…