PICHA: Dkt Jakaya Mrisho Kikwete Akimtambulisha Mwanae Ridhiwani Kikwete kwa Rais Samia

Wewe ulivyo mjinga pamoja na kuwa chawa wazazi wako hawajawahi kutambulishwa hata kwa Mwenyekiti wa kijiji, tafuta pesa acha kusifia upumbavu.
 
Ungeacha wenye akili Timamu na wanaojitambua wajadili hoja. Wazazi wangu walitambulishwa hata kwa Hayati Mwalimu Nyerere
Wangetambulishwa usingekuwa mjinga namna hii unatia aibu tupu, wenzako hapo wanafurahia wanavyoiba mali za watanganyika bila kusumbuliwa wewe unasifia ujinga wako
 
Wewe wakati mwingine uwe na akili,unatuaibisha Sana wanambozi...yaani Kikwete anamtambulisha R Kikwete kwa mama Samia, tufanye upon Sawa!

Wewe Mzee Mwashambwa na kupauka kwake anakutambulisha wapi?

Unashadadia mambo kama zuzu wakati wenzako kupitia wewe wanaendelea kufaidi keki ya taifa!

Pole sana!
 
Kwahiyo Samia amemteuwa Uwaziri Ridhiwani Kikwete bila kumjuwa? Au siyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…