Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

Afande Mwita kama rinareta zarau,rikamate ritandike viboko 12 na riweke sero na uhakikishe rinapewa kazi ngumu.Rinafikiri tupo studioni hapa.
 
Maradhi yamempanda kichwani, afanye mpango wa kubadilisha damu sasa.
 
Kapatikana leo

KAINGIA CHOO CHA KIKE, NGOJA AKANYEE DEBE NA AFANYE USAFI KULE SERO, AU KALE KA UGONJWA KAMEPANDA KICHWANI? NINA wasiwasi kama sheikh farid wa uamsho atamuacha salama huko segerea,atampa makonzi ya kutosha
 
Nchi haina mwenyewe ndo tulipofikia kila mtu yupo juu ya sheria...ujanja ujanja unamaliza taifa hili...baada ya miaka 10 ijayo sijui tutakuwa na taifa gani.....
 
Kibonde wa Clouds anadaiwa kusababisha ajali asubuhi hii eneo la Makumbusho, amemgonga dereva mwingine kwa nyuma. Trafiki walipofika kupima ajali, Kibonde karudi nyuma kaendesha gari lake kasepa! Trafiki katumia gari lililogongwa kumfukuzia. Walifanikiwa kumkamata eneo la Mwenge. Trafiki aliingia ktk gari lake nakumwomba arudi eneo la ajali ili wakapime na kuchora mchoro wa ajali. Kibonde kagoma na kumtaka trafiki ashuke ktk gari lake, trafiki naye kagoma kushuka. Mchezo ulioendelea Kibonde aliondoa gari na kuanza kupiga misele, akizunguka mitaa akiwa na trafiki huyo! Trafiki aliwasiliana na wenzake ambao walianza kuifuatilia gari hiyo ya Kibonde kila kiunga cha jiji hususani eneo la Mwenge na Ubungo. Hayawi, hayawi yakawa, Kibonde akatokea maeneo ya mataa ya Ubungo, hapo nikashuhudia senema ya Kibonde na trafiki! Trafiki wa kike aliyekua eneo hilo akaipiga mkono gari ya Kibonde iliyokuwa kasi, gari hiyo haikuonesha dalili za kupunguza mwendo. Trafiki alikomaa kusimama mkono wake ukiwa juu kuashiria kumtaka Kibonde asimame huku akipaza sauti ktk radio call akisema ananigonga, afande, ananigonga! Akiwa ktk hali hiyo, kuna gari ilikotokea sikujua ikakatisha kati ya trafiki na gari ya Kibonde ndiyo ikawa kigingi cha gari ya Kibonde na kutiwa mbaroni! Aligoma kuendesha gari ikabidi livutwe hadi polisi Urafiki ambapo kwa sasa amepelekwa Oystabay! Kwa utafiti wangu kidogo nilioufanya nikifukuzana na muda kuwahi kanisani, ni kwamba Kibonde na watu wengine aliokuwanao ndani ya gari lake walikuwa 'TINGASI'!
 
hivi hii kitu imetokea makumbusho ama ubungo pale mataa....?
 
Angesimama wakayamaliza ya nini kujifanya mubabe.....ingekuwa kule magharibi asingeendesha tena gari
 
Kibonde wa Clouds anadaiwa kusababisha ajali asubuhi hii eneo la Makumbusho, amemgonga dereva mwingine kwa nyuma. Trafiki walipofika kupima ajali, Kibonde karudi nyuma kaendesha gari lake kasepa! Trafiki katumia gari lililogongwa kumfukuzia. Walifanikiwa kumkamata eneo la Mwenge. Trafiki aliingia ktk gari lake nakumwomba arudi eneo la ajali ili wakapime na kuchora mchoro wa ajali. Kibonde kagoma na kumtaka trafiki ashuke ktk gari lake, trafiki naye kagoma kushuka. Mchezo ulioendelea Kibonde aliondoa gari na kuanza kupiga misele, akizunguka mitaa akiwa na trafiki huyo! Trafiki aliwasiliana na wenzake ambao walianza kuifuatilia gari hiyo ya Kibonde kila kiunga cha jiji hususani eneo la Mwenge na Ubungo. Hayawi, hayawi yakawa, Kibonde akatokea maeneo ya mataa ya Ubungo, hapo nikashuhudia senema ya Kibonde na trafiki! Trafiki wa kike aliyekua eneo hilo akaipiga mkono gari ya Kibonde iliyokuwa kasi, gari hiyo haikuonesha dalili za kupunguza mwendo. Trafiki alikomaa kusimama mkono wake ukiwa juu kuashiria kumtaka Kibonde asimame huku akipaza sauti ktk radio call akisema ananigonga, afande, ananigonga! Akiwa ktk hali hiyo, kuna gari ilikotokea sikujua ikakatisha kati ya trafiki na gari ya Kibonde ndiyo ikawa kigingi cha gari ya Kibonde na kutiwa mbaroni! Aligoma kuendesha gari ikabidi livutwe hadi polisi Urafiki ambapo kwa sasa amepelekwa Oystabay! Kwa utafiti wangu kidogo nilioufanya nikifukuzana na muda kuwahi kanisani, ni kwamba Kibonde na watu wengine aliokuwanao ndani ya gari lake walikuwa 'TINGASI'!

chanzo:mdau aliyekuwepo eneo la tukio
 
Kwa watakao hitaji picha hyoooo

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨uuuu
 
Hawa watu wa Mawingu FM ujeuri wao wanajivunia kuipigia kampeni CCM? Inakueaje mtu tena mtangazaji wa radio analeta jeuri mpaka kwa serikali yake, itakuwaje sasa kwa maboss zake so wanaweza hata kuweka serikali mfukoni km yule Mgiriki wa enzi za Nyerere? Wamfunze adabu Kibonde Ili iwe fundfisho na kwa wengine....
 
Watu wasiokuwa na faida duniani wakifa ni lazima niende buchani kununuwa figo na maini ili nile rost ya kushangilia

Mkuu n kweli imekugusa lakini watu wa MUNGU wote wanafaida sema tofauti n utendaji wa haki...... nakushauri muombee usisubiri kununua figo na maini u losti siku akifa. Hata mm namchukia kibonde ila c kiasi hicho hebu abadilije na tumkubali sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…