Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

Kibonde wa Clouds anadaiwa kusababisha ajali asubuhi hii eneo la Makumbusho, amemgonga dereva mwingine kwa nyuma. Trafiki walipofika kupima ajali, Kibonde karudi nyuma kaendesha gari lake kasepa! Trafiki katumia gari lililogongwa kumfukuzia. Walifanikiwa kumkamata eneo la Mwenge. Trafiki aliingia ktk gari lake nakumwomba arudi eneo la ajali ili wakapime na kuchora mchoro wa ajali. Kibonde kagoma na kumtaka trafiki ashuke ktk gari lake, trafiki naye kagoma kushuka. Mchezo ulioendelea Kibonde aliondoa gari na kuanza kupiga misele, akizunguka mitaa akiwa na trafiki huyo! Trafiki aliwasiliana na wenzake ambao walianza kuifuatilia gari hiyo ya Kibonde kila kiunga cha jiji hususani eneo la Mwenge na Ubungo. Hayawi, hayawi yakawa, Kibonde akatokea maeneo ya mataa ya Ubungo, hapo nikashuhudia senema ya Kibonde na trafiki! Trafiki wa kike aliyekua eneo hilo akaipiga mkono gari ya Kibonde iliyokuwa kasi, gari hiyo haikuonesha dalili za kupunguza mwendo. Trafiki alikomaa kusimama mkono wake ukiwa juu kuashiria kumtaka Kibonde asimame huku akipaza sauti ktk radio call akisema ananigonga, afande, ananigonga! Akiwa ktk hali hiyo, kuna gari ilikotokea sikujua ikakatisha kati ya trafiki na gari ya Kibonde ndiyo ikawa kigingi cha gari ya Kibonde na kutiwa mbaroni! Aligoma kuendesha gari ikabidi livutwe hadi polisi Urafiki ambapo kwa sasa amepelekwa Oystabay! Kwa utafiti wangu kidogo nilioufanya nikifukuzana na muda kuwahi kanisani, ni kwamba Kibonde na watu wengine aliokuwanao ndani ya gari lake walikuwa 'TINGASI'!

chanzo:mdau aliyekuwepo eneo la tukio
TINGASI ni kitu gani?
 
Kwa hiyo?
 
Kifungu gani cha sheria kinacho ruhusu mtu apigwe?

Wewe nape kamuulize kayanza n kwa sheria gani au kifungu gani apigwe. C ndo gamba lenu lilisema hvyo au unaruka sasa.
 
Sasa sisi tufanyeje?? mbona madaladala kila siku yanasababisha ajali huji kuandika humu
 
Walifake kupigana radioni hamjajifunza tu!! Guys kuna mambo mengi ya kufanya
 
tingasi ni kitu gani?
kupiga ulabu kupindukia, jamaa huyu si ndiye anajifanya kuwahimiza wenzake wasichepuke kutoka njia kuu?, hata hivyo ushamba unamsubua wa kujifanya yuko karibu na riz 1, si ajabu anafanya jeuri hioi ya kuvunja sheria makusudi kwa kujifanya yuko karibu na ikulu
 
Kibonde ni wa kufungwa,kuendesha gari akiwa tingasi,alitaka kusababisha kifo cha askari wa barabarani,tatu kusababisha uharibifu wa mali.
 
Wadau,

Mnapenda sana UMBEA,muda sijui mnatoa wapi?. Je Mkiambiwa kua walikua wanatengeneza TANGAZO la kutii sheria bila shurti?.

Halafu mnasema nchi yenu masikini. Tanzania itaachaje kuwa masikini kama sample ya watu wake ni aina YENU humu??!!

Negative thinking imewajaa na uzandiki. Fanyeni kazi acheni majungu. Sasa KiBONDE akifungwa au kuwekwa sero wewe unafaidika vipi?

Mchawi sio lazima akuroge

Punguzeni majungu

FP
 
Kibonde ni wa kufungwa,kuendesha gari akiwa tingasi,alitaka kusababisha kifo cha askari wa barabarani,tatu kusababisha uharibifu wa mali.

Sio rahisi nchi inafata sheria,evidence can be a photograph,a letter,documents or records from a before you ever go to court,think about the evidence you want to use to prove your case.If you can't, let the judge decide.
 
Clouds walipopigwa fine kwa ku promote ushoga wakaja kufungiwa kipindi cha xxl nilijua tatizo ni wame lack maadili ya utangazaji kumbe tatizo wafanyakazi wao ni bunch of wahuni
 
Kibonde ni wa kufungwa,kuendesha gari akiwa tingasi,alitaka kusababisha kifo cha askari wa barabarani,tatu kusababisha uharibifu wa mali.

Umejuaje alikua TINGASI? ulimpima? au Traffic police walimpima na kukupa taarifa?

A typical bongo!!
 
Sasa sisi tufanyeje?? mbona madaladala kila siku yanasababisha ajali huji kuandika humu

Umejuaje km yanasababisha ajali kila siku mbona hujawahi kutoa taarifa humu. Haya umesema kila siku tupe updates basi ya jana na leo.
Gamba
 
Back
Top Bottom