Nchi inafata katiba sio mtu
Wadau,
Mnapenda sana UMBEA,muda sijui mnatoa wapi?. Je Mkiambiwa kua walikua wanatengeneza TANGAZO la kutii sheria bila shurti?.
Halafu mnasema nchi yenu masikini. Tanzania itaachaje kuwa masikini kama sample ya watu wake ni aina YENU humu??!!
Negative thinking imewajaa na uzandiki. Fanyeni kazi acheni majungu. Sasa KiBONDE akifungwa au kuwekwa sero wewe unafaidika vipi?
Mchawi sio lazima akuroge
Punguzeni majungu
FP
Leo ana kazi ya U-MCee sijui itakuwaje?
Umejuaje km yanasababisha ajali kila siku mbona hujawahi kutoa taarifa humu. Haya umesema kila siku tupe updates basi ya jana na leo.
Gamba
Clouds walipopigwa fine kwa ku promote ushoga wakaja kufungiwa kipindi cha xxl nilijua tatizo ni wame lack maadili ya utangazaji kumbe tatizo wafanyakazi wao ni bunch of wahuni
Umejuaje alikua TINGASI? ulimpima? au Traffic police walimpima na kukupa taarifa?
A typical bongo!!
Yani huyu kibwengo nisivyompenda nafikiria kwenda hapo Oysterbay polisi nikamuongezee kesi kwamba aligonga mtu akakimbi na mgonjwa yuko Moi muhimbili, kwa msumali huu hawampi dhamana hata kwa dawa.
Uzi umejaa ushabiki kiasi kwamba kilichotokea hakieleweki..
Umeandika kijambazi jambazi au km unachelewa kwenda kuhara
Nchi haina mwenyewe ndo tulipofikia kila mtu yupo juu ya sheria...ujanja ujanja unamaliza taifa hili...baada ya miaka 10 ijayo sijui tutakuwa na taifa gani.....
Unakimbizwa? Si utoe taarifa kamili?
Wadau,Mnapenda sana UMBEA,muda sijui mnatoa wapi
Jamani nimeona hii habari wala sijaielewa:
Gazeti The Biggest IQ Ijumaa Wikienda, halina cha kupoteza kwa kuthubutu.....
Source:http://www.globalpublisherstz.com/ijumaawikienda
Sio rahisi nchi inafata sheria,evidence can be a photograph,a letter,documents or records from a before you ever go to court,think about the evidence you want to use to prove your case.If you can't, let the judge decide.
Naona unajaribu kumtetea mumeo ila lazima akanyee debe
aisee.....
Hii habari ni kweli na huyu Miss ni nani?
Started by FairPlayer, 25th March 2010 14:12
hiyo source ndio #1 kwa umbea....
That is Argumentum ad Populum. Ila sijashangaa sana. Ndivyo tulivyo
Utakuwa mgeni Tanzania juzi watu wamepigwa mabomu mbeya kiss wamebeba maiti wanaenda kuzika polisi wanauliza kibali chakutembea na maiti kipo wapi. Je kunasheria hiyo hapa Tz ???