Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

Kova kama anataka kustaafu kwa aibu na atie puwa yake aone tena Kibonde ana bahati nimekosa mtu aliyebwagwa na bodaboda leo kesi yote angeibeba yeye kwamba alimgonga bodaboda na kuondoka RB namba tayari ninayo.
 
Yani huyu kibwengo nisivyompenda nafikiria kwenda hapo Oysterbay polisi nikamuongezee kesi kwamba aligonga mtu akakimbi na mgonjwa yuko Moi muhimbili, kwa msumali huu hawampi dhamana hata kwa dawa.

Kwi kwi kwi..
 

Attachments

  • 1407587088250.jpg
    42.7 KB · Views: 284
salama aleykhum ... Seloozzz....
Kutoka jumatatu.. Weeknd njema mzee wa jahaza a.k.a
mchepuko
 
Hivi huyu ng'ombe hiki kiburi anatowa wapi? ana bahati sana huyu leo mtu angekufa kwa kugongwa na garii muder case angeibeba huyu na kiburi chote kingekwisha.

Traffic offence tumia akili hakuna murder hapo
 

Basi wewe subiri hzo picha ila kibonde yupo kituoni
 
Hivi huyu ng'ombe hiki kiburi anatowa wapi? ana bahati sana huyu leo mtu angekufa kwa kugongwa na garii muder case angeibeba huyu na kiburi chote kingekwisha.
Matola nchi hii hawa wanaojiona wako karibu na watawala ndo wanaotaga mapembe.. Wanaamini na wao wako juu ya sheria.. Hili alilolifanya Kibonde ni kosa kubwa.. Lakini kwa vile hakuna utawala wa sheria hapa sintoshangaa kama rungu halitamuangukia hiyo askari..
 
Last edited by a moderator:
Duuhii si Igizo kabiasaaa
 

Attachments

  • 1407588318392.jpg
    56.9 KB · Views: 267
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…