Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kova kama anataka kustaafu kwa aibu na atie puwa yake aone tena Kibonde ana bahati nimekosa mtu aliyebwagwa na bodaboda leo kesi yote angeibeba yeye kwamba alimgonga bodaboda na kuondoka RB namba tayari ninayo.Habari kutoka kituo cha kati osterbay kuwa hilo suala limepelekwa kwa kamanda kova kwa maridhiano, suluhu na fidia kwa kibonge ili suala lisifike mahakamani
mpaka napata habari hizi kikao cha maridhiano bado kinaendelea kati ya maafisa wa police (akiwemo kova na watu wa karibu wa kibonde) na wahanga wa tukio.
