Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

MMmh,hata ile ya kupigana studio mlituzuga eti was a joke,wadanganyeni waliolala,wenzio tulishaamka:thumbdown:
 
Hahaha! Amepata mada nzuri yakuzungumzia kuanzia j3 mpaka ijumaa!!!! No one is above the law
 
What is kibonde by the way,mnampa umaarufu wa bure..

Mkuu hilo ndio dhumuni la Clouds,watu wanashindwa kutumia akili kuamini hili swala.ukisoma hiyo habari utagundua walakini,mleta habari anasema yeye kashuhudia tukio ubungo wakati gari ikigongwa lakini anasimulie matukio yote ya nyuma kabla kufika ubungo kwa ufasaha na akiwa na uhakika,cha kujiuliza hayo matukio ya nyuma kayajuaje? Hii ni cooked story
 
Isipowekwa kwenye top 10 ya amplifaya .. Namkataa na millard pia
 
Duu,akitoka jumatatu,heshima kwa ma-trafic itaongezeka mara 10.
 
huyu jamaa alinifanya niichukia clouds fm mpaka leo hii huwa cpendi kusikiliza hii radio....maana watangazaji wake vichwa maji kweli
 
jamani,alafu nasikia leo ndo alikuwa mc wa shughuli mahala fulani,da na kutoka nazani ndo hadi jumatatu,sababu huwa weekend dhamana inakataliwa
 
huyu hapa akipelekwa polisi

 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…