huyu jamaa alinifanya niichukia clouds fm mpaka leo hii huwa cpendi kusikiliza hii radio....maana watangazaji wake vichwa maji kweli
Mwenye Matokeo yake ya olev aweke hapa coz jamaa ana kichwa maji ile mbaya
Mkuu linamsonta huyo aliyelipiga picha!! Ila JF ni kiboko mpaka picha zote mbili zimepatikana! Moja alikuwa amedhibitiwa na trafiki hii ya pili yuko cell! Nya.mba.aff!! Abaki njia kuu na huko tuone sasa!!sheria bin sheria
Jela inamtosha sana huyo mbuluraz.
sheria bin sheria
Mwenye Matokeo yake ya olev aweke hapa coz jamaa ana kichwa maji ile mbaya
uyu mzee anaweza akawa usalama wa taifa kukimbia police hivyo baadae tu mtaambiwa yupo nje kwa dhamana