Una ushahidi wa askari kutukanwa?
Fitna zenu ukawa tuu mtangaika sana
Safi sana, hili tukio limetokea maeneo gani ili nikampe zawadi huyu askari?
Safi sana, hili tukio limetokea maeneo gani ili nikampe zawadi huyu askari?
Achaa ujingaaa wewe...Uyo sio Kibondeee....mbonaa jamaaa...Ndio anatokaaa Home mda huu...
Duh! Alikuwa mbishi nini kwenda kituoni, mbona kama anamfunga pingu?
Fitna zenu ukawa tuu mtangaika sana
Una ushahidi wa askari kutukanwa?
Achaa ujingaaa wewe...Uyo sio Kibondeee....mbonaa jamaaa...Ndio anatokaaa Home mda huu...
Hapo ni maeneo ya Ubungo, Kibonde alikua maji (kalewa) kwahiyo katika kuendesha gari kagonga gari ya mbele yake nyuma. Basi kumbe ile gari ya mbele alikua akiendesha tajari wa Kizungu. Kibonde kuona hivyo katoka ndani ya gari ametuna akaanza kumpa shit mzungu na kuanza kumsukuma sukuma. Alijua kwa vile ni mzungu hana haki tena Tanzania. Mzungu mwenyewe huyo ni giant kama Goliati wa kwenye Bible, Kibonde na Traffic walikua kama mbilikimo tu au emolo wale wacheza shoo wa marehemu Pepe Kalle. Ilibidi Kibonde abebwe mzobemzobe hadi kwenye daladala na kupelekwa kituo cha Geshi la PoLish.
Nakubaliana na wewe mkuu lakini hapa inaonekana 'wapuuzi' wamekutana na kama alivyowahi kusema Mh. Joseph Mbilinyi kuwa dawa ya mtu mpuuzi ni wewe kuwa mpuuzi zaidi yake.Tatizo ni foleni wandugu. Tuko wengi tuna hasira kutokana na kucheleweshwa makazini na foleni ya magari jijini. Maaskari wa barabarani ni wasumbufu sana,mara nyingi wanachelewesha magari ya upande fulani,na kuruhusu ya upande mwingine kwa muda mrefu. Nafikiri jamaa alikuwa anawahi airport. Lakini kwa nini adhalilishwe hadharani kiasi hicho,askari wetu wanatumia maguvu zaidi,kichwani zero. Sikubaliani na kibonde kwa mengi,lakini kwa hili amedhalilihwa.
Wana Jf, kumekuwa na malalamiko mengi humu jamnvini kuhusu kiburi cha watangazaji wa kituo cha radio cha Clouds FM kuwa juu ya sheria za nchi kwa kufanya mambo watakavyo.
Leo mmoja wao ameonja joto la jiwe baada ya kujifanya mbabe na kumtukana askari wa usalama barabarani Leo asubuhi, picha hapa ikionyesha EPHRAHIM Kibonde akiwekwa chini ya ulinzi baada ya kumtusi askari.