Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

Hii redio wamejisahau sana hasa baada ya kudhulumu vifaa vya mziki alivyotoa mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Dr J.K.
 
Tatizo ni foleni wandugu. Tuko wengi tuna hasira kutokana na kucheleweshwa makazini na foleni ya magari jijini. Maaskari wa barabarani ni wasumbufu sana,mara nyingi wanachelewesha magari ya upande fulani,na kuruhusu ya upande mwingine kwa muda mrefu. Nafikiri jamaa alikuwa anawahi airport. Lakini kwa nini adhalilishwe hadharani kiasi hicho,askari wetu wanatumia maguvu zaidi,kichwani zero.

Sikubaliani na kibonde kwa mengi,lakini kwa hili? amedhalilihwa.

Unaweza kuwa sahii na usiwe sahii vile vile huyu kibonde ndo hupinga maandamano ya upinzani kwamba watii sheria. Kwanini na yeye asitii hiyo sheria
 
Ahahaaaa hii post imejaa fasta sana mpk mchana cjui itakuwa imefika wapi, Kibonde badilika acha sifa zitakuponza!
 
Nakubaliana na wewe mkuu lakini hapa inaonekana 'wapuuzi' wamekutana na kama alivyowahi kusema Mh. Joseph Mbilinyi kuwa dawa ya mtu mpuuzi ni wewe kuwa mpuuzi zaidi yake.
Yeye amekuwa akitumia nafasi aliyonayo kuwadalilisha wengine badala ya kuwajibika, na naona huenda kaongea na huyo afande kwa dharau zilezile kama amejifungia studio na yaliyomkuta angalau anaweza kushika adabu kidogo.
Hii picha ingelimhusu mtu mwingine hakika ningesikitika lakini kwa huyu jamaa ni sawa kabisa.
Shikamoo mleta picha!


Marahabaaaaaa!!!
 
Wana Jf, kumekuwa na malalamiko mengi humu jamnvini kuhusu kiburi cha watangazaji wa kituo cha radio cha Clouds FM kuwa juu ya sheria za nchi kwa kufanya mambo watakavyo.

Leo mmoja wao ameonja joto la jiwe baada ya kujifanya mbabe na kumtukana askari wa usalama barabarani Leo asubuhi, picha hapa ikionyesha EPHRAHIM Kibonde akiwekwa chini ya ulinzi baada ya kumtusi askari.


attachment.php

Can you prove kamani Kibonde?
 
cloud inadharau sana wakiongozwa na bos wao anadhani kuonekana maisha ni nyumba ndio kuwa juu ya sheria ujinga
 
Jamaa kibonde kweli unashikwaje na asikari tena wa ukawa
 
Wapuuzi kabisa hawa clouds.. kisa eti watangazaji ndo wawe na uvunjifu wa sheria na kudhalilisha? afande leo siyo siku ya kazi,mpelekeni sitaki shari kabisa mpaka j3 atie adabu
 
Nimeiona hii habari ikiwa haina comment, nikaenda kupuliza ganja kidogo, narudi tayari inakaribia ukurasa wa nne!
Ama kweli Kibonde hapendwi jamani! Wangempasua Pumb kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Nimwenyewe jana alikuja huku dodoma kwenye sales moments za nyumba za NHC alivaa hivyo hivyo n mwenyewe huyo
 
Nimeiona hii habari ikiwa haina comment, nikaenda kupuliza ganja kidogo, narudi tayari inakaribia ukurasa wa nne!
Ama kweli Kibonde hapendwi jamani! Wangempasua Pumb kabisa.

Sasa pumb limehusikaje hapo!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom