Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

Naomba Kuuliza.

Lile tangazo la Ephraim Kibonde na Trafiki limefikia wapi?
 
Kibonde yule aliyetukana madaktari wakamuumbua kuwa anatumia dozi kali?
 
nimeona picha magazeti ya leo wakichora michoro eneo la ajali akiwemo mzungu na trafiki..wakitoka hapo wanenda studio then litakuwa hewani
 
Naomba Kuuliza.

Lile tangazo la Ephraim Kibonde na Trafiki limefikia wapi?
Nasikia alijitetea na kuomba msamaha eti alizidisha dozi ya minjingu au booster au kwa lugha inayoeleweka ARV. Wakamuachia kwa masharti nafuu on humanitarian ground kwasababu ameunganishwa kwenye gridii ya taifa.
 
dozi ya minjingu au booster....mmmhhh
 
Jaman kwani alifanyaje huyu kibonde

"Baada ya kugonga, Kibonde alirudi nyuma kisha kuanza kukimbia ambapo trafiki alitumia gari lililogongwa na Kibonde kumkimbiza," kilimwaga data chanzo hicho.Chanzo hicho kilifafanua kuwa baada ya polisi kumkimbiza kwa saa kadhaa, walifanikiwa kumkamata maeneo ya Mwenge ambapo trafiki alipanda kwenye gari la Kibonde na kumuamuru arudi eneo la tukio lakini Kibonde hakuwa tayari kurudi ndipo alipoanza kukimbia tena, huku askari aliyemkamata akiwa ndani ya gari.
 
nimeona picha magazeti ya leo wakichora michoro eneo la ajali akiwemo mzungu na trafiki..wakitoka hapo wanenda studio then litakuwa hewani

katika kituo cha Oysterbay ili kutaka kujua mustakabali mzima wa ishu hiyo ambapo alimshuhudia Kibonde akiwa amesimama nyuma ya nondo huku akiwa anaimba ‘nyimbo’ anazozijua mwenyewe.
Mtangazaji huyo amefunguliwa kesi iliyopewa RB namba OB/RB/13806/20014 KUGONGA NA LUGHA YA MATUSI.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…