Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

Walikuwa na Garden Habash JD mbona mmemshupalia yeye tu....sisapport alichofanya lakini hakuna sababu ya kuweka chunvi.....hapa
 
Walikuwa na Garden Habash JD mbona mmemshupalia yeye tu....sisapport alichofanya lakini hakuna sababu ya kuweka chunvi.....hapa
Hi wewe unawashwa uko nyuma? Gadner ndio alikuwa dereva? hata hufanyaje watu hawana time na Gardener kwa sababu hana mashauzi na kujifanya kila kitu anajuwa.

Kama Kibonde ni bwana wako akitoka lupango mtumie link ya thread hii asome comments zote kisha ajitafakari, hajachelewa bado anao muda wa kubadilika akachukuwe kozi ya kubadili tabia na hulka kwa Mwigulu Nchemba.
 
Kumbe halija toka hili dubwana?
 
Naomba mahakama ya mwanzo wasimpe dhamana kabisa maana alikusudia kuua na kuteka polisi.
 
Walikuwa na Garden Habash JD mbona mmemshupalia yeye tu....sisapport alichofanya lakini hakuna sababu ya kuweka chunvi.....hapa

Hiyo ina maana huyu Jamaa ni "celebrity" almaarufu zaidi ya Gardner Habash ndio maana ameshupaliwa yeye tu!
 
Kibonde aachiwa kwa dhamana Oysterbay

Dar es Salaam.

Mwandishi wa habari, Ephraim Kibonde jana aliachiwa kutoka Kituo cha Polisi Oysterbay, Dar es Salaam alikokuwa akishikiliwa tangu mwishoni mwa wiki kwa tuhuma za kusababisha ajali ya gari na kutoa lugha ya matusi kwa askari wa usalama barabarani.

Mwanahabari huyo alikamatwa Jumamosi asubuhi kwa tuhuma za kusababisha ajali hiyo na kuendsha gari akiwa amelewa.
Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura alithibitisha jana kukamatwa kwa Kibonde na kwamba walikuwa wakiendelea kufanya uchunguzi wa tukio hilo.

"Tangu juzi asubuhi alikuwa bado anashikiliwa kwa ajili ya kuhojiwa," alisema Kamanda Wambura.
Hata hivyo taarifa zilizopatikana jana jioni zilidai kuwa Kidonde aliachiwa kwa dhamana wakati uchunguzi ukiendelea.
Kwa upande wake, mkuu wa Kituo cha Polisi cha Oysterbay, Victor Samata alikataa kuzungumzia tukio la kukamatwa Kibonde kwa madai kuwa si msemaji.

"Siwezi kuzungumza lolote kwa sasa. Zipo mamlaka zinazohusika na vyombo vya habari," alisema Samata.
Kibonde anadaiwa kuendesha gari akiwa amelewa, hali iliyomfanya kugonga gari nyingine kwa nyuma.
Inadaiwa pia kuwa, baada ya kusababisha ajali hiyo akiwa na mwandishi mwenzake, Gadner Habash, walikimbia wakati polisi wakitaka kupima eneo la ajali.

Baada kukimbia, polisi walimfukuza kwa kutumia gari jingine kabla ya kumkamata eneo la Ubungo.
Kibonde na mwenzake baadaye walipelekwa eneo lililotokea ajali kwa ajili ya kupima na baadaye kupelekwa kituo cha polisi.

Chanzo: Mwananchi
 
Hiyo ndio safii maana analeta umaarufu wakati kafanya uhalibifuu.xasi police kwa kumfunza adabu lakini kuweni makini ni mgonjwa alie jizira huyoooo
 
ndani ya lockup ya ostabay,maskini celebrity wetu

Oya yaani ninaenda kutumia hii kitu kwa muda wa siku kadhaa.....

Hii hapa ndio Ndoo ya sero / Lupango aliyotumia KI-MLIMA.
 
Attachments

  • 557px-MaryRose-leather_bucket.jpg
    557px-MaryRose-leather_bucket.jpg
    41.9 KB · Views: 258
Anabahati alikuta nimeishatoka kituoni..akilala pale obey nimkute..usiku itakula kwake. Lazima nipime oil
 
Hiyo ndio safii maana analeta umaarufu wakati kafanya uhalibifuu.xasi police kwa kumfunza adabu lakini kuweni makini ni mgonjwa alie jizira huyoooo

Sio vizuri kujizira, inabidi kuishi kwa matumaini.
 
Back
Top Bottom