Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

Ni tangazo, kuna rafiki yangu yuko Clouds Media ameniambia.

Kama kweli ni Tangazo la Tii Sheri bila Shuruti, Mamlaka Halisi ilipaswa kutoa tamko ili kuwaaminisha wananchi wasiwe na shauku. Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Camilius Wambura, amethibitisha kukamatwa kwa Kibonde na Gardner.

Kama yeye ametoa tamko hilo ikiwa ni sehemu ya "igizo" bila wananchi kuelewa, basi, hii ni THE MOST STUPID PRODUCTION EVER in the history of Public Safety Media Relations.

MADUDU bin BALAA!

Nikianza kuelezea wapi wamekosea na wapi wamepatia, ratio itakuwa 99.9% makosa na 0.1% kupatia.

Mnachemka zaidi kwa KUTUMIA NGUVU NYINGI SANA kukanusha tukio hili, na watu WAMEKATAA kukubali kwamba ni SINEMA! Kimsingi, MMEUMBUKA! Mchana kweupe peeeee! BOOOOOM!
 
Na hilo je nalo ni tangazo???
 
Attachments

  • 1407694448343.jpg
    1407694448343.jpg
    86.3 KB · Views: 538
Huyo mzungu hadi akubali gari yake igongwe kwa ajili ya tangazo amelipwa kiasi gani cha pesa ktk tangazo hilo? Nadhani lile lilikuwa ni tukio la kweli.
 
Duh!!! sasa hilo litakuwa tangazo au movie?? Maana wanashoot ajali imetokea makumbusho then Kibonde kasepa hadi Mwenge then akakamatwa na akafanikiwa kusepa tena mpaka mwenge,, I think hili tangazo litakuwa na episodes kama lile la Guinness Bear la Michael Power!!

Note: Huu upuuzi wako peleka kwingine sio humu, waweza peleka kwenye viblog vyenu uchwara huko!!
 
Shika adabu yako
 
Kwa hiyo unataka kutuambia yale
matusi aliyokuwa anayatoa ni part ya tangazo?
Kugonga gari ya watu ni part ya tangazo?
kulewa na Kunuka pombe nayo

Na kamanda wa polisi aliyekiri kutokea uhalifu huu nae ni part ya tangazo

Jitahidi kusoma magazeti wewe mtoa post
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1407696871416.jpg
    uploadfromtaptalk1407696871416.jpg
    119.8 KB · Views: 317
Back
Top Bottom