Mandla Jr.
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 3,098
- 631
Naomba Kuuliza.
Lile tangazo la Ephraim Kibonde na Trafiki limefikia wapi?
Lile tangazo la Ephraim Kibonde na Trafiki limefikia wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kibonde yule aliyetukana madaktari wakamuumbua kuwa anatumia dozi kali?
Dozi kali,,,vijana mna maneno sana!! Ndio dozi gani mkuu??
Naomba Kuuliza.
Lile tangazo la Ephraim Kibonde na Trafiki limefikia wapi?
Nasikia alijitetea na kuomba msamaha eti alizidisha dozi ya minjingu au booster au kwa lugha inayoeleweka ARV. Wakamuachia kwa masharti nafuu on humanitarian ground kwasababu ameunganishwa kwenye gridii ya taifa.Naomba Kuuliza.
Lile tangazo la Ephraim Kibonde na Trafiki limefikia wapi?
Nasikia alijitetea na kuomba msamaha eti alizidisha dozi ya minjingu au booster au kwa lugha inayoeleweka ARV. Wakamuachia kwa masharti nafuu on humanitarian ground kwasababu ameunganishwa kwenye gridii ya taifa.
Jaman kwani alifanyaje huyu kibonde
nimeona picha magazeti ya leo wakichora michoro eneo la ajali akiwemo mzungu na trafiki..wakitoka hapo wanenda studio then litakuwa hewani
Busara apate wapi huyo mburulaKama ana busara atakuwa amejifunza kitu kupitia sakata lake...
Jamani sakata la Kibonde limeishaje?