Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

una ushahidi wa askari kutukanwa?

camera za siku hizi za kisasa zinapiga picha mpaka maneno,kaza macho angalia picha vizuri,mbona mimi nayaona,hayo hayo ndio ushahidi
 
Hii redio wamejisahau sana hasa baada ya kudhulumu vifaa vya mziki alivyotoa mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Dr J.K.
 

Unaweza kuwa sahii na usiwe sahii vile vile huyu kibonde ndo hupinga maandamano ya upinzani kwamba watii sheria. Kwanini na yeye asitii hiyo sheria
 
Ahahaaaa hii post imejaa fasta sana mpk mchana cjui itakuwa imefika wapi, Kibonde badilika acha sifa zitakuponza!
 

Marahabaaaaaa!!!
 

Can you prove kamani Kibonde?
 
cloud inadharau sana wakiongozwa na bos wao anadhani kuonekana maisha ni nyumba ndio kuwa juu ya sheria ujinga
 
Jamaa kibonde kweli unashikwaje na asikari tena wa ukawa
 
Wapuuzi kabisa hawa clouds.. kisa eti watangazaji ndo wawe na uvunjifu wa sheria na kudhalilisha? afande leo siyo siku ya kazi,mpelekeni sitaki shari kabisa mpaka j3 atie adabu
 
Nimeiona hii habari ikiwa haina comment, nikaenda kupuliza ganja kidogo, narudi tayari inakaribia ukurasa wa nne!
Ama kweli Kibonde hapendwi jamani! Wangempasua Pumb kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Nimwenyewe jana alikuja huku dodoma kwenye sales moments za nyumba za NHC alivaa hivyo hivyo n mwenyewe huyo
 
Nimeiona hii habari ikiwa haina comment, nikaenda kupuliza ganja kidogo, narudi tayari inakaribia ukurasa wa nne!
Ama kweli Kibonde hapendwi jamani! Wangempasua Pumb kabisa.

Sasa pumb limehusikaje hapo!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…