Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

Duh, mkuu ulikuwa makin kuchua picha hadi rahaaaaa,
Au ulijua kuwa atafanya tukio?
Nnavo wajua clouds hawachelewi kusema kuwa walikuwa wanaigiza(fake event) ili kuvuta hisia za wapitaji! Nyie subr mtaona, kwan hamkumbuki ya XXL?
 
Fitna zenu ukawa tuu mtangaika sana

ni kweli mkuu ni UKAWA wapo nyuma hapo.wanajua wana habari wengi wa clouds wanaipenda ccm na waumini wa serikali mbili. wanaanza kuwatafuta na wameanza na kibonde
 

EPHRAIM KIBONDE APATA AJALI MLIMANI CITY | Udaku Special-Home of Gossip News
 



Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
Salamaleko afande teh teh teh ujanja wote mfukoni!!!
 
hii habari imewafurahisha sana BAWACHA na BAViCHA ndio DANNYBAVICHA ameipamba kweli!
 
Last edited by a moderator:
Mpiga debe wa CCM huyo ataachiwa muda si mrefu na polisi aliyemkamata anaweza kupata matatizo.
 
vema sana askari,anajiona ni mwenye serikari.Ajifunze kutii sheria na taratibu!
 
simu inatoka magogoni haraka aachiwe na huyo afande anapelekwa sitimbi.
Mark my words.
 
hii habari imewafurahisha sana BAWACHA na BAViCHA ndio DANNYBAVICHA ameipamba kweli!

Mkuu ulitaka picture niipigaje ili isionekane nimeipamba?? Nifundishe niko tayari kujifunza kupiga picture vizuri zaidi. By the way achana na michepuko barabarani baki njia kuu yasije kukutana ya kibonde
 
Last edited by a moderator:
Kwi kwi kwi...Jamaa kapiga ndovu zake za kutosha kaamka nazo analeta habari za kumpa Vasco da Gama tshirt...Subiri aje akutembelee gerezani halafu tusikie HABARILEO...JK AMTEMBELEA KIBONDE GEREZANI...
 
Tutaanza kuwaita wale wanaotanua KibooodeeZ!
Hv hajatoka, maana najua systm ya mshikaji ipo mpaka kwa mkuruuuu! Huenda sheria zikapindishwa ili atoke leo,

Ila angekuwa kidampa tu ooooo hyo mpaka j3, maana ukifikshwa watu wanafunga sero.
 
Kibonde wa Clouds anadaiwa kusababisha ajali asubuhi hii eneo la Makumbusho, amemgonga dereva mwingine kwa nyuma. Trafiki walipofika kupima ajali, Kibonde karudi nyuma kaendesha gari lake kasepa! Trafiki katumia gari lililogongwa kumfukuzia. Walifanikiwa kumkamata eneo la Mwenge.

Trafiki aliingia ktk gari lake nakumwomba arudi eneo la ajali ili wakapime na kuchora mchoro wa ajali. Kibonde kagoma na kumtaka trafiki ashuke ktk gari lake, trafiki naye kagoma kushuka. Mchezo ulioendelea Kibonde aliondoa gari na kuanza kupiga misele, akizunguka mitaa akiwa na trafiki huyo! Trafiki aliwasiliana na wenzake ambao walianza kuifuatilia gari hiyo ya Kibonde kila kiunga cha jiji hususani eneo la Mwenge na Ubungo.

Hayawi, hayawi yakawa, Kibonde akatokea maeneo ya mataa ya Ubungo, hapo nikashuhudia senema ya Kibonde na trafiki! Trafiki wa kike aliyekua eneo hilo akaipiga mkono gari ya Kibonde iliyokuwa kasi, gari hiyo haikuonesha dalili za kupunguza mwendo. Trafiki alikomaa kusimama mkono wake ukiwa juu kuashiria kumtaka Kibonde asimame huku akipaza sauti ktk radio call akisema ananigonga, afande, ananigonga!

Akiwa ktk hali hiyo, kuna gari ilikotokea sikujua ikakatisha kati ya trafiki na gari ya Kibonde ndiyo ikawa kigingi cha gari ya Kibonde na kutiwa mbaroni! Aligoma kuendesha gari ikabidi livutwe hadi polisi Urafiki ambapo kwa sasa amepelekwa Oystabay!

Kwa utafiti wangu kidogo nilioufanya nikifukuzana na muda kuwahi kanisani, ni kwamba Kibonde na watu wengine aliokuwanao ndani ya gari lake walikuwa 'TINGASI'!
 
Hao ndiyo watangazaji wa clouds...Bangi zimewajaa hadi kwenye mimavi wanayokunyaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…