Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

Mh hapa salva wa ikulu lazima atoe tamko kuhusu mtangazaji huyu wa redio ya ikulu
 
Kila mtu huwa na mashaka yake katika dunia hii,Kibonde si malaika ni binadamu kama sisi na hufanya makosa,tuiache sheria ichukue mkondo wake.
 
Kibonde ana haja ya kujitizama na kujitathmini upya..swali analopaswa kukiuliza ni kwamba imefikia hatua nachukiwa zaidi ya Polisi ambao ndo wanachukiwa zaidi duniani? Nimejikwaa wapi?

Si ajabu akafariki watu wakaandaa karamu!! Yaweza kuwa.
 
Huyu mtu hapo kakamatwa tu watu wanashangilia akifa sipati picha kuna watu hapa watasheherekea...dah

Watu wasiokuwa na faida duniani wakifa ni lazima niende buchani kununuwa figo na maini ili nile rost ya kushangilia
 
hapo hakuna cha sero wala wapi,wakifika kituoni anaomba simu yake anapijiwa bosi baadae askari anaomba msamaha mwenyewe....
 
pale clouds fm watangazaji wote wanavuta mambo yao kule juu ya jengo lao.
huyu aburuzwe mahakamani kabisa iwe mfano.
 
kibonde alisema anataka kugombea uraisi kwa stsili hii ataweza kweli
 
Njou;
Mhhh ngoja nipite kwanza.



Bwana Tembo a.k.a Njou unaelekea wap leo?
 
Last edited by a moderator:
Kibonde angebaki njia kuu ...
 
Tatizo anajiona anajuana n viongozi wakubwa wa nchi ndo anataka kusumbua watu,respect! ni kitu muhimu sana ktk maisha umesimamishwa n askari simama we hausimami unamaana gan? C dharau hiyo!!
 
Halafu leo kumbe Birthday ya Kibonde! Hatariiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…