Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui kama alimeza dawa zake jana, yuko tingas! dah!
Kwa sheria gani?
Huyu mtu hapo kakamatwa tu watu wanashangilia akifa sipati picha kuna watu hapa watasheherekea...dah
hapo hakuna cha sero wala wapi,wakifika kituoni anaomba simu yake anapijiwa bosi baadae askari anaomba msamaha mwenyewe....