Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nani asiyejua chadema hamuwapendi wanahabari wa clouds kisa wanaipenda ccm.mmeanza na kibonde
hii habari imewafurahisha sana BAWACHA na BAViCHA ndio DANNYBAVICHA ameipamba kweli!
Mkuu unaweza kufafanua maana nahisi cjakuelewa,..
Fitna zenu ukawa tuu mtangaika sana
Huyu mtu hapo kakamatwa tu watu wanashangilia akifa sipati picha kuna watu hapa watasheherekea...dahYani huyu kibwengo
nisivyompenda nafikiria kwenda hapo Oysterbay polisi nikamuongezee kesi
kwamba aligonga mtu akakimbi na mgonjwa yuko Moi muhimbili, kwa msumali
huu hawampi dhamana hata kwa dawa.
Apigwe huyo......
Nitawajibu jumatatu nikiwa mjengoni subirini...........