Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

Wakuu anayeweza kutuambia idadi ya members wanaofuatilia hii thread kwa sasa.
 
Jana na leo selo ya obay hujaaga walevi si unajua makojo ya walevi yalivyo na harufu,pole Kibonde omba Mungu wakuweke counter.
 
wamlaze ndani hako j3 afikishwe mahakamani....
 
Moderator kwanini mmekimbilia kuweka comment ya bato pale juu? Hii habari bado zinaingia taarifa tofauti acheni zimiminike then tutapata habari za uhakika zaidi na si kujaribu kuwa katikati wakati huyu bwana ni moja wa watu wanaoponda mtandao huu hadharani .......
Mkuu unaweza kufafanua maana nahisi cjakuelewa,..
 
Last edited by a moderator:
Yani huyu kibwengo
nisivyompenda nafikiria kwenda hapo Oysterbay polisi nikamuongezee kesi
kwamba aligonga mtu akakimbi na mgonjwa yuko Moi muhimbili, kwa msumali
huu hawampi dhamana hata kwa dawa.
Huyu mtu hapo kakamatwa tu watu wanashangilia akifa sipati picha kuna watu hapa watasheherekea...dah
 
Kujiamulia utakavyo hii nimakosa hatakama huna kosa kakugonga subir sheria itoe uamuzi sio kumtukana mtu au kumtukana officer wa polis sasa haon amezalilishwa hivyo kama jambaz ana fundisha nin familia yake yeye mtu wa kutazamwa na jamii kitu kabla hajafanya fikiria
 
Kweli nimeamini Clouds Media Group ni genge la Wahuni maana juzi tu tumetoka kusikia watangazaji wa kipindi cha XXL wametukanana redioni.
 
Back
Top Bottom