Mchimba Chumvi
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 2,244
- 5,500
Ujanja Ni KuchanjaUlitaka iwe ya furaha ilihali alikuwa kwenye majonzi
Hapa alibakiza siku 28 tu taifa liwe na furahaPicha hii ilipigwa na mpiga picha wa ikulu 19 February 2021 wakati wa kuaga mwili wa Dkt kijazi
Ni picha isiyo na nuru kabisa;ni picha yenye simanzi,majuto na ilikua ni kama mtu asiye na matumaini kbs.
R I P.
View attachment 1971052Ujanja ni kuchanja
Unafuraha leo zaidi ya 2019?Hapa alibakiza siku 28 tu taifa liwe na furaha
Mimi naona maumivu tu.furaha inatoka wapi?Hapa alibakiza siku 28 tu taifa liwe na furaha
Unafuraha leo zaidi ya 2019?
[/QUOTNdio Nina amani Sina hofu hata Kama Sina pesa
Picha hii ilipigwa na mpiga picha wa ikulu 19 February 2021 wakati wa kuaga mwili wa Dkt kijazi
Ni picha isiyo na nuru kabisa;ni picha yenye simanzi,majuto na ilikua ni kama mtu asiye na matumaini kbs.
R I P.
View attachment 1971052Ujanja ni kuchanja
Inaonekana unajua vingiSaivi yupo kuzimu bob[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Tulia weweUlitaka iwe ya furaha ilihali alikuwa kwenye majonzi