Picha fikirishi ya Magufuli

Picha fikirishi ya Magufuli

huyo mzee kusema kwel ni alijua tu ipo siku yatamkuta, na pengine aliwajua maadui zake mybe indirect, na alishindwa kuwasambaratisha sabbu ya nguvu zao, miziz yao na connection walizo nazo ndani na nje ya nchi.

huyo mzee kifo chake Nakaza maneno sio natural death, yaan God's plan, kama wasemavyo wale waamini dini, huyo mzee alishapangiwa plan za kumtoa hapo kwa muda mrefu sana, na ilichukuwa muda mrefu& wahusika wa karibu ili/kupata data za mienendo ya huyo bwana.

na walio husika ni unseen government(secret organization+developed nations) na hawa hufanya kazi kwa faida za kwao wenyewe na si faida ya wananchi,

hawa ndyo hucontrol nchi kwa kuwaendesha viongoz kufuata matakwa yao, hawa hata hawajulkani ktk jamii, lkn nguvu zao zina effects kubwa ktk jamii&taifa , na hawa kwa upande mwngne naweza kusema ni wahasisi wa c+c+m ambao wamejiwekea mizizi iliyojiimarisha kuiongoza nchi kwa vipindi vyote, na hawa wako tyr kuunda hata sera&katiba ambayo itakuwa ikiwalinda wao na kuwapa nguvu&ushindi kwa muda wote.

hawa sio rahisi kuwashinda, maana wanashirikiana na media zote kubwa ulimwenguni,.mashirika ya kutetea haki za watu, haki za wanawake, nchi za magharibi&USA, mashirika ya dini&dhehebu lenye nguvu ambalo ndilo controller wa mifumo ya elimu, utandawazi, afya, uchumi, maendeleo ya jamii, mahusiano ya kimataifa(UN, AU),

na hawa walio husika ni hao hao wanaoiongoz dunia kwa matakwa yao, na kuamua kila nchi hususan afrika kuenenda kwa masharti yao, hufanya kazi nchini kupitia mawakala wao(unseen leaders) kwa kupitisha agenda zao kupitia vivuli vyao(seen leaders).

wao agenda zao ni....naishia hapa, najua kuna wapumbav watakuja kupinga haya bila sabbu ya maana
Alisikika mvuta bangi wkt akiwa anachanja gomba.
 
alimuua nan? mnapenda kusambaza rumors mlizokuwa mkidanganywa na bosi wenu kigogo, huyo aliewalisha sumu za chuki na kuwasaliti, mnamuhukumu magu kuwa muuwaji, lkn upande wenu wakisema mbowe ni gaidi mnapinga kwa kutaka shahidi sindiyo??[emoji28][emoji28], kweli siasa ni takataka
Ben Saanane Mkuu, na wengine "maelfu" kwenye viroba.
 
alimuua nan? mnapenda kusambaza rumors mlizokuwa mkidanganywa na bosi wenu kigogo, huyo aliewalisha sumu za chuki na kuwasaliti, mnamuhukumu magu kuwa muuwaji, lkn upande wenu wakisema mbowe ni gaidi mnapinga kwa kutaka shahidi sindiyo??[emoji28][emoji28], kweli siasa ni takataka
Unatetea upuuzi
 
Magufuli ni kama alijua mapema kwamba ni yeye ndiye anayefuata...

so touching asee...
Bunadamu yyt timamu hajui kesho yake, might be you, might be anyone regardless his/ her super power. Ishi na watu vizuri.
 
hii picha nliishtukia kitambo sana, nilimuwaza mara 100 mpiga picha.
Mimi nilishituka sana kuona marais wasitaafu wanakutana na Rais bila barakoa, nikajua hapa kuna kitu inakuja, ujue ukishakua above 50 immunity inakuwa low na unakua na medical issues nyingi mno,,,
RIP chuma ,RIP BWM, RIP maalim seif, hans popes, etc
 
Back
Top Bottom