Mchimba Chumvi
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 2,244
- 5,500
- Thread starter
- #21
Sikiliza wewemsitake kumfanya aonekane mtakatifu.
hizi picha ilikuwa ni wakati wa maziko.
nadhani ilikuwa ni wakati wa kumuaga balozi kijazi.
Ujanja ni kuchanja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikiliza wewemsitake kumfanya aonekane mtakatifu.
hizi picha ilikuwa ni wakati wa maziko.
nadhani ilikuwa ni wakati wa kumuaga balozi kijazi.
Unafikiri mama mkwe na Kaka yake Mbowe walikuwa hawajachanjwa?Ujanja Ni Kuchanja
Je.Ye kamaliza wewe je..?
Inaonekana unajua vingi
Hapo SasaUnafikiri mama mkwe na Kaka yake Mbowe walikuwa hawajachanjwa?
His Right Man, usiku ule ulikuwa wa maumivu makali kwa John Magufuli kuanzia siku ile aliposikia kifo cha Kijazi hakuwa sawa mpaka pale mauti yalipo mkuta.He was one of his most trusted assistant.He should have felt that way (Sorrow).
Mafikara yalikuwa mengi sanaPicha hii ilipigwa na mpiga picha wa ikulu 19 February 2021 wakati wa kuaga mwili wa Dkt kijazi
Ni picha isiyo na nuru kabisa;ni picha yenye simanzi,majuto na ilikua ni kama mtu asiye na matumaini kbs.
R I P.
View attachment 1971052Ujanja ni kuchanja
alimuua nan? mnapenda kusambaza rumors mlizokuwa mkidanganywa na bosi wenu kigogo, huyo aliewalisha sumu za chuki na kuwasaliti, mnamuhukumu magu kuwa muuwaji, lkn upande wenu wakisema mbowe ni gaidi mnapinga kwa kutaka shahidi sindiyo??[emoji28][emoji28], kweli siasa ni takatakaKumbe nae anakufaga? Aliua wengi huku akikenua... Walifurahia walikuwa wapo sahihi kabisa
Muovu aangukapo wenye haki hufurahi
Wewe ndio umewachanja?Unafikiri mama mkwe na Kaka yake Mbowe walikuwa hawajachanjwa?
Acha ushirikina mzee kaondoka kwa ubishi wake tuu hakuchukuwa tahadhari si tumeona wengi tu wameondoka mzee huu ugonjwa ni hatariYataongelewa mengi lakini kifo cha yule mzee japo kiliniuma sana ila naamini kabisa sio bure aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Kudos,naona umeamua kuchambua kijasusi zaidihuyo mzee kusema kwel ni alijua tu ipo siku yatamkuta, na pengine aliwajua maadui zake mybe indirect, na alishindwa kuwasambaratisha sabbu ya nguvu zao, miziz yao na connection walizo nazo ndani na nje ya nchi.
huyo mzee kifo chake Nakaza maneno sio natural death, yaan God's plan, kama wasemavyo wale waamini dini, huyo mzee alishapangiwa plan za kumtoa hapo kwa muda mrefu sana, na ilichukuwa muda mrefu& wahusika wa karibu ili/kupata data za mienendo ya huyo bwana.
na walio husika ni unseen government(secret organization+developed nations) na hawa hufanya kazi kwa faida za kwao wenyewe na si faida ya wananchi,
hawa ndyo hucontrol nchi kwa kuwaendesha viongoz kufuata matakwa yao, hawa hata hawajulkani ktk jamii, lkn nguvu zao zina effects kubwa ktk jamii&taifa , na hawa kwa upande mwngne naweza kusema ni wahasisi wa c+c+m ambao wamejiwekea mizizi iliyojiimarisha kuiongoza nchi kwa vipindi vyote, na hawa wako tyr kuunda hata sera&katiba ambayo itakuwa ikiwalinda wao na kuwapa nguvu&ushindi kwa muda wote.
hawa sio rahisi kuwashinda, maana wanashirikiana na media zote kubwa ulimwenguni,.mashirika ya kutetea haki za watu, haki za wanawake, nchi za magharibi&USA, mashirika ya dini&dhehebu lenye nguvu ambalo ndilo controller wa mifumo ya elimu, utandawazi, afya, uchumi, maendeleo ya jamii, mahusiano ya kimataifa(UN, AU),
na hawa walio husika ni hao hao wanaoiongoz dunia kwa matakwa yao, na kuamua kila nchi hususan afrika kuenenda kwa masharti yao, hufanya kazi nchini kupitia mawakala wao(unseen leaders) kwa kupitisha agenda zao kupitia vivuli vyao(seen leaders).
wao agenda zao ni....naishia hapa, najua kuna wapumbav watakuja kupinga haya bila sabbu ya maana
Post #32Yataongelewa mengi lakini kifo cha yule mzee japo kiliniuma sana ila naamini kabisa sio bure aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa wanataka kuniua kweli? Sina hamu na siasa.Picha hii ilipigwa na mpiga picha wa ikulu 19 February 2021 wakati wa kuaga mwili wa Dkt kijazi
Ni picha isiyo na nuru kabisa;ni picha yenye simanzi,majuto na ilikua ni kama mtu asiye na matumaini kbs.
R I P.
View attachment 1971052Ujanja ni kuchanja
Ila lazima Tukubali tu kwamba amekwenda....huyo mzee kusema kwel ni alijua tu ipo siku yatamkuta, na pengine aliwajua maadui zake mybe indirect, na alishindwa kuwasambaratisha sabbu ya nguvu zao, miziz yao na connection walizo nazo ndani na nje ya nchi.