Picha fikirishi ya Magufuli

Picha fikirishi ya Magufuli

Sioni tatizo kwa mtu aliyekuwa msibani,kifo cha mwingine huwa kinamkumbusha binadamu mambo mengi sana
 
Kumbe nae anakufaga? Aliua wengi huku akikenua... Walifurahia walikuwa wapo sahihi kabisa

Muovu aangukapo wenye haki hufurahi
 
He was one of his most trusted assistant.He should have felt that way (Sorrow).
His Right Man, usiku ule ulikuwa wa maumivu makali kwa John Magufuli kuanzia siku ile aliposikia kifo cha Kijazi hakuwa sawa mpaka pale mauti yalipo mkuta.

Apumzike kwa Anani JPM
 
Kumbe nae anakufaga? Aliua wengi huku akikenua... Walifurahia walikuwa wapo sahihi kabisa

Muovu aangukapo wenye haki hufurahi
alimuua nan? mnapenda kusambaza rumors mlizokuwa mkidanganywa na bosi wenu kigogo, huyo aliewalisha sumu za chuki na kuwasaliti, mnamuhukumu magu kuwa muuwaji, lkn upande wenu wakisema mbowe ni gaidi mnapinga kwa kutaka shahidi sindiyo??[emoji28][emoji28], kweli siasa ni takataka
 
huyo mzee kusema kwel ni alijua tu ipo siku yatamkuta, na pengine aliwajua maadui zake mybe indirect, na alishindwa kuwasambaratisha sabbu ya nguvu zao, miziz yao na connection walizo nazo ndani na nje ya nchi.

huyo mzee kifo chake Nakaza maneno sio natural death, yaan God's plan, kama wasemavyo wale waamini dini, huyo mzee alishapangiwa plan za kumtoa hapo kwa muda mrefu sana, na ilichukuwa muda mrefu& wahusika wa karibu ili/kupata data za mienendo ya huyo bwana.

na walio husika ni unseen government(secret organization+developed nations) na hawa hufanya kazi kwa faida za kwao wenyewe na si faida ya wananchi,

hawa ndyo hucontrol nchi kwa kuwaendesha viongoz kufuata matakwa yao, hawa hata hawajulkani ktk jamii, lkn nguvu zao zina effects kubwa ktk jamii&taifa , na hawa kwa upande mwngne naweza kusema ni wahasisi wa c+c+m ambao wamejiwekea mizizi iliyojiimarisha kuiongoza nchi kwa vipindi vyote, na hawa wako tyr kuunda hata sera&katiba ambayo itakuwa ikiwalinda wao na kuwapa nguvu&ushindi kwa muda wote.

hawa sio rahisi kuwashinda, maana wanashirikiana na media zote kubwa ulimwenguni,.mashirika ya kutetea haki za watu, haki za wanawake, nchi za magharibi&USA, mashirika ya dini&dhehebu lenye nguvu ambalo ndilo controller wa mifumo ya elimu, utandawazi, afya, uchumi, maendeleo ya jamii, mahusiano ya kimataifa(UN, AU),

na hawa walio husika ni hao hao wanaoiongoz dunia kwa matakwa yao, na kuamua kila nchi hususan afrika kuenenda kwa masharti yao, hufanya kazi nchini kupitia mawakala wao(unseen leaders) kwa kupitisha agenda zao kupitia vivuli vyao(seen leaders).

wao agenda zao ni....naishia hapa, najua kuna wapumbav watakuja kupinga haya bila sabbu ya maana
 
Kudos,naona umeamua kuchambua kijasusi zaidi
 
Ila lazima Tukubali tu kwamba amekwenda....
Unaposema Kifo chake hakikuwa Mpango wa Mungu ina maana unataka kusema shetani amemzidi maarifa Mungu na kusababisha kifo chake??

Yaani unataka kutuaminisha kwamba
Mungu alikuwa hajui chochote kuhusu kifo cha JPM mpaka hao Watu unaowajata wakamzidi Mungu maarifa na kusababisha kifo chake?

Kaa ukijua Mungu ana namna ya kuwalinda watu waliobena kusudi lake hata dunia nzima na shetani wakikaa kinyume chako hawawezi kukuondoa kabla ya Muda uliokusudiwa na Mungu

Lazima ukubali kwamba kila mwanadamu ana mwisho wake Unaweza kuwa mchungu sana lakini ndiyo hivyo

Kifo kinaweza kusababishwa na Shetani pia..
Lakini kama Mungu aliona na akakaa kimya na kuruhusu kitokee kuna sababu ni kwa nini...
 
Back
Top Bottom