BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Ni kweli kabisa. Habari kama hizi ukisikia ni Marekani au Ulaya ujue ni mtu mweusi tu hata kama hajawahi kufika Afrika kabisa.Mwafrica hata akiwa Mmarekani utamjua tu. Hela zote hizo za nini hadharani ?!
Hahaha kwanini kaka.Huyu atakufa maskini na hatawika tena
[emoji23][emoji23][emoji23]Inaonyesha ngumi za kichwa alizopigwa zimeharibu Oblangata yake
Mr Nice alikuwa na pesa ila akajikuta anaendesha bajaj bila kupenda.Huyu atakufa maskini na hatawika tena
SI kule kulikotokea naniliu? Tushajuahuyu atakuwa ana asili ya kabila flan apa bongo!