PICHA: Floyd Mayweather na jeuri ya hela

PICHA: Floyd Mayweather na jeuri ya hela

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,327
Floyd Mayweather ni kama ATM Mashine inayotembea. Wikiendi hii mwanamasumbwi huyo mstaafu alimmwagia rafiki yake wa muda mrefu Lil Kim zaidi ya dola 9,000(zaidi ya milioni 18 za kitanzania...yaani kazimwaga tu) wakati akitumbuiza kwenye tamasha la Bad Boy Family Reunion huko Las Vegas.

Jeuri hiyo ya fedha ya Mayweather haikuishia hapo alipost kipande cha video kwenye mtandao wake wa Instagram kinachoonesha madola akiwa ameyapanga mezani kitendo kilichoonekana kuwatoa udenda baadhi ya watu.

1475641300152.jpg
 
Mwenzenu amebeti kala hela hana hasara maisha yake hapo Las Vegas ni kubet amenunua machine kabisa.Huyu jomba anabahati na mikeka balaa.
 
Back
Top Bottom