BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Floyd Mayweather ni kama ATM Mashine inayotembea. Wikiendi hii mwanamasumbwi huyo mstaafu alimmwagia rafiki yake wa muda mrefu Lil Kim zaidi ya dola 9,000(zaidi ya milioni 18 za kitanzania...yaani kazimwaga tu) wakati akitumbuiza kwenye tamasha la Bad Boy Family Reunion huko Las Vegas.
Jeuri hiyo ya fedha ya Mayweather haikuishia hapo alipost kipande cha video kwenye mtandao wake wa Instagram kinachoonesha madola akiwa ameyapanga mezani kitendo kilichoonekana kuwatoa udenda baadhi ya watu.