PICHA: Freeman Mbowe katika uso wa tabasamu na furaha kubwa hii leo Juni 30, 2025

Na wewe jenga Upinzani wako na siyo kupiga makelele huku jukwaani wakati mbowe amepigana na kuijenga CHADEMA kwa nguvu zake zote na kwa maisha yake yote
Ww ni mpumbavu unaye taka cheo kwa kutumia mdomo,mdomo ukigoma sijui utatumia njia ipi?
 
Ukiona adui yako ameanza kukusifia....... fahamu bila shaka kuna walakini mahali.
 
Haya kalale sasa usiku umengia kesho uwahi namba shule
 
Heche hajawahi kumtukana Mbowe popote rekebisha kauli yako
Wakati wa kampeni ya uchaguzi wao Heche alisema wazi namna anavyomheshimu Mbowe. Sidhani kama baada ya hapo amewahi kumtukana moja kwa moja. Mtu ambae najua kuwa ametukanwa na Heche ni Suzan Kiwanga.

Ila pamoja na kusema hivyo kukaa kwake kimya wakati vijana wa Chadema wakimtukana Mbowe kunatia wasiwasi kuhusu hiyo heshima anayosema anayo kuhusu Mbowe.

Kama kweli anamthamini na kumheshimu, angejitenga na lugha za kejeli, dharau na matuI zili,okuwa zikiporomoshwa dhidi ya Mbowe. Na mpaka yuko kimya ingawa kila kukicha Mbowe anatukanwa. Kwenye hilo, anastahili lawama.

Amandla...
 
Haahaa huu uwongo unakusaidia nn mkuu🤣🤣🤣
 
Kwa aliyoyaonyesha mbowe kipindi hiki chama chake kikipitia wakati mgumu naye akikaa kimya sawa tu..
 
Kwa aliyoyaonyesha mbowe kipindi hiki chama chake kikipitia wakati mgumu naye akikaa kimya sawa tu..
Nyie ni watu wa ajabu sana. Mlitegemea Mbowe afanye nini? Aidha, kwani lazima kila anachofanya akiweke hadharani? Au mnaona waliopo hawatoshi kukipigania chama chao? Na kama hakubaliani na mwenendo wa CDM? Mnataka awe kama Nyerere kwa kukikosoa hadharani?

Heche alisema " tunakushukuru sana kwa kutulea lakini sasa tutakupumzisha na kukuonyesha kuwa tumekomaa". Hii ndio sehemu ya ukomavu.

Amandla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…