Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
Au Parachichi!Hilo ni papai watu wanajibonyezea tu
Au Parachichi!Hilo ni papai watu wanajibonyezea tu
Heche sio size yako wewe chawaHeche hajitambui kabisa na mdomo wake ule wa uropokaji
Labda mungu wa mafisiemuMungu amlinde
Mkuu, hilo popoma halina akili.Hivi kwa nini RPC wa Dodoma alihamishwa? Au ni ile nyomi ya NRNE, by the way, ile nyomi na zingine zote zilikua zinaenda mikutanoni kwa ridhaa zao, sio kwa kusombwa na malori na matrekta kama magunia ya mkaa. Huo ndo ushawishi kwa watu, CCM ndo hamna ushawishi kabisaaa, mmebakia kutumia polisi, mahakama na msajili tu.
Umebubujikwa na machozi kuwaona!Mimi ni Mwashambwa Lucas . Na huyo pichani ni Yericko Nyerere Mwandishi wa vitabu vya kijasusi
NdioKumbe Lukas Mwashambwa
Umechambua vizuri sana . Lissu anapaswa kuongozwa na siyo kuongozahapana mkuu
mimi ni mshabiki wa Lissu as a politician
sina tatizo kabisa na umaahiri wake
ila mimi napenda taasisi zaidi kuliko yeye kama individual
Lissu ana mapungufu yake,Lissu sio kiongozi mzuri wa taasisi
hapo tu
na pia ni muongo,utendaji wake sio mzuri na hana akili kama tunavyodhani
hii miezi 6 imetuonesha wazi kabisa,Lissu anatakiwa kuongozwa,kuandaliwa kila kitu yeye aendeleze umashuhuri wake
Lissu sio builder,yeye ni mtumiaji....
pair yake na Mbowe ilikua the best maana Mbowe alikua anajua kumsetia mazingira bora ya yeye kua bora
Unfortunately Lissu alidhani anajua kuendesha gari kumbe sio kweli
Kama ni kufungwa,wote walifungwa na mtu huyo huyo,na kama kunyimwa ruzuku wote walinyimwa,ila chadema ya Mbowe ilifanikiwa kusurvive successfully sehemu zote hizo
Leo ndugu mashuhuri Lissu,same script inampigia chama kinakufa,who had bigger brains?
Heche sio size yako wewe chawa
Nafurahi kuona CHADEMA kwa sasa wanajutia ukurupukaji wao . Sasa msifanye makosa tena . Hakikisheni mwezi wa Kumi mna tiki kwa Rais Samia na wagombea wote wa CCMUmebubujikwa na machozi kuwaona!
Hakuna Uchaguzi bila reforms kufanyika.Nafurahi kuona CHADEMA kwa sasa wanajutia ukurupukaji wao . Sasa msifanye makosa tena . Hakikisheni mwezi wa Kumi mna tiki kwa Rais Samia na wagombea wote wa CCM
Mwenyekiti mpya ndo anapaswa aache upumbavu kama anataka support ya Mbowe. Mbowe anaipenda Tanzania kuliko CHADEMA kwa hiyo hawezi kuunga mkono mtu mpuuzi anayesema atakinukisha huku familia yake ikiwa Marekani.Amejikoroga hapa mwishoni kukisusia chama chake kisa kushindwa uwenyekiti, kwa sasa alipaswa kuwa beneti na viongozi waliochaguliwa
Uchaguzi upo palepale na utafanyika kama ilivyopangwaHakuna Uchaguzi bila reforms kufanyika.
No Reforms, No elections.Uchaguzi upo palepale na utafanyika kama ilivyopangwa
si umekuta chama kishakua kikubwa unajua katoka nacho wap ndugu mleviWapambanaji enzi za kina Nyerere wangekuwa kama Mbowe, Afrika isingepata uhuru.
Endelea na kupoteza muda wakati watanzania wanaendelea kujiandaa kwenda kutiki kwa Rais Samia na wagombea wote wa CCMNo Reforms, No elections.
Hawezi akaelewa kitu huyo mlevi.si umekuta chama kishakua kikubwa unajua katoka nacho wap ndugu mlevi
Kuna Jamaa mmemnyima Fomu kwenye Jimbo la Mchengerwa, kulikoni?Endelea na kupoteza muda wakati watanzania wanaendelea kujiandaa kwenda kutiki kwa Rais Samia na wagombea wote wa CCM
Tungejua tusingekuuliza mzee wa buku sabaKwani kesi iliishaje mahakamani
Jibu swali languTungejua tusingekuuliza mzee wa buku saba