Mbowe kazi yake ni kula pesa za ibirisi wa ccm na kuidhoofisha chademaHaahaa mbowe kasusa kisa kashindwa uchaguzi, sio sawa

Pumba tupuNdugu zangu Watanzania,
Huyu Hapa Mwamba Na Jabali la Siasa za Upinzani hapa Nchini Mheshimiwa Freeman Mbowe Mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA na kiongozi wa kambi ya Upinzani Bungeni. Mtu aliyekuza na kuibua vipaji vya vijana wengi sana hapa Nchini. Mtu aliyekuwa na moyo wa uvumilivu, upendo,ustahimilivu ,subira na kuupa muda nafasi.
Mtu aliyetumia mikono yake kuwalea ,kuwavusha na kuwafungulia njia vijana wengi sana hapa Nchini. Mtu aliyewabeba vijana mabegani mwake na kuwapeleka ng'ambo ya pili ya mto,mtu aliyekuwa na chemchemi ya upendo kifuani kwake kwa vijana. Mtu aliyeinua vijana wengi na kuwapa majukwaa ya kuzungumza na wananchi,mtu aliyewatambulisha vijana wengi katika anga la siasa za nchi hii.
Ni mtu aliyezijua siasa za Upinzani,mtu aliyejua namna ya kudhibiti Mihemuko ya vijana wake,mtu aliyejua kusaka vipaji,kuendana na vijana wa kizazi hiki. Mtu aliyejua maana ya siasa siyo uadui,mtu aliyejua Kuna wakati kunahitaji kukaa mezani na kufanya mazungumzo .
Ni mtu aliyetumia muda wake mwingi, pesa zake,mali zake , rasilimali zake na Maisha yake yoote kuijenga CHADEMA na kuifikisha hapo ilipo. Alikuwa ni Daraja la matumaini kwa vijana na watu wengi wenye ndoto za uongozi kwa Nchi hii kwa ngazi za udiwani na Ubunge. Alikuwa ni Mwalimu wa siasa za Upinzani,alikuwa mfano halisi wa mtu aliyekomaa kiakili na kumudu siasa za upinzani.
Alijua kulitawala jukwaa,alijua kuteka mioyo ya Wafuasi wake ,alijua kupangilia maneno yake ,alijua nini anakifanya. Leo yupo pembeni ,leo yupo kando ,leo yupo na Mambo yake ,leo yupo Nje ya uongozi lakini kimvuli chake kingalipo ndani ya CHADEMA,bado unaona nafasi yake na sauti yake ilihitajika kuendelea kuiongoza CHADEMA.
Alikuwa na moyo wa unyenyekevu katika ubinadamu wake ,alikuwa na moyo wa kusamehe na kusonga mbele. Aliweza kukaa mezani na yeyote yule na kuungana na yeyote yule katika kukijenga chama chake alichokijenga kwa jasho na Damu katika ujana wake wote mpaka umri alionao kwa sasa.
Waliofanya maamuzi ya Mihemuko na kukurupuka leo hili wanajutia maamuzi yao na wanatamani muda urudi nyuma na wampigie kura za ndio kwa kishindo kikuu. Leo wanatamani afungue hata kinywa chake ili azungumze nao ,leo ukimya wake unawatesa wana CHADEMA wote waliomtusi na kumuumiza kwa maneno ya kejeri na dharau pamoja na kumdhalilisha.
Leo chama kimeshikwa na watu wasio na muelekeo wala Dira wala maono. Chama kinakwenda kama kipofu gizani au gari lililokatika breki mteremkoni .Chama kinaendeshwa kilevi kilevi tu. Kila siku chama kinaendelea kupoteza nuru . na mpaka sasa hakina ushawishi hata wa kuweza kupata wagombea wa kusimama majukwaani kuomba kura.
Watanzania nimewaleteeni somo hili ili mjue na kuogopa kufanya maamuzi ya kukurupuka. Tumieni haki yenu ya kikatiba kuhakikisha mwezi wa Kumi mnakwenda kwenye vituo vya kupigia kura kwenda kutiki kwa Rais Samia Suluhu Hasssan Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi pamoja na wagombea wote wa ngazi za ubunge na udiwani watakaokuwa wamesimamishwa na CCM.View attachment 3389496View attachment 3389498View attachment 3389500
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mbowe alikuwa Dikteta sana alimuua Chacha wangwe alimwekea sumu zito kabwe na sasa kala njama na ibirisi wa ccm lisu anyongwe, Mbowe ni mtu wa hovyo sana aliwahi kumtuma Kileo kwenda kuwamwagia watu Tindikali kule Tabora, sasa anakula pesa za walipa kodi kwa Udalali wa kuidhoofisha chademaLissu alikua namba mbili kwa madaraka ndani ya chadema kwa miaka 20
alifanya nini?
HAKUNA
Unaongea as if Lissu kashuka mbinguni leo,alikuwepo chadema kwa miaka 20 na alikua mtoa maamuzi namba mbili kwa cheo
kama kuna makosa yalifanyika,yeye anahusika pia moja kwa moja
Mbowe mhujumu,Lissu yeye ni malaika hana kosa na alikuwepo kwenye uongozi huo huo kwa miaka 20?
nani aamini huu usenge?
yaani bado mnamsingizia mbowe kila kitu?
mlisema mna majawabu ya makosa yote yaliyofanyika,kumbe hayo majawabu hamna!
MLIwadanganya wapiga kura wenu
kadanganyeni watoto huko
Mmefeli pabaya sana. Lisu anawatoa uharoLissu alikua namba mbili kwa madaraka ndani ya chadema kwa miaka 20
alifanya nini?
HAKUNA
Unaongea as if Lissu kashuka mbinguni leo,alikuwepo chadema kwa miaka 20 na alikua mtoa maamuzi namba mbili kwa cheo
kama kuna makosa yalifanyika,yeye anahusika pia moja kwa moja
Mbowe mhujumu,Lissu yeye ni malaika hana kosa na alikuwepo kwenye uongozi huo huo kwa miaka 20?
nani aamini huu usenge?
yaani bado mnamsingizia mbowe kila kitu?
mlisema mna majawabu ya makosa yote yaliyofanyika,kumbe hayo majawabu hamna!
MLIwadanganya wapiga kura wenu
kadanganyeni watoto huko
Wewe binafsi unajenga nini kwa kuleta uzi huu? Umetuletea pichani, hapo yupo wapi na anafanya nini? kamilisha hoja ya kutuletea huyo nduguNa wewe jenga Upinzani wako na siyo kupiga makelele huku jukwaani wakati mbowe amepigana na kuijenga CHADEMA kwa nguvu zake zote na kwa maisha yake yote
Mbowe hakuna kitu alifanya chadema zaidi ya wizi kazi za kuikuza chadema zilifanywa na wengi siyo mwizi mbowe, wewe endelea kuvuta Bangi hapo Ghetto kwake lakini Tambua kuwa mbowe sasa hana thamani ni mtu wa hovyo tuyeah,mnampenda sana Lissu
naona hamjali taasisi nzuri mliyoikuta inayoitwa Chadema
mpo radhi ife kumlinda mtu
i wonder,Lissu akihama chama mnahama nae
Chadema mmeikuta nzuri kabisa,ina uimara bora kabisa,kwa miezi 6 that is not the same!
Lissu umaarufu ukichuja kama wa Lyatonga,mtakuta hamna taasisi
On top of that,lissu hana uwezo wa kugundua,kulea na kuvipa vipaji vipya nafasi ya kung'ara zaidi yake,this will be a major problem
Ndugu zangu Watanzania,
Huyu Hapa Mwamba Na Jabali la Siasa za Upinzani hapa Nchini Mheshimiwa Freeman Mbowe Mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA na kiongozi wa kambi ya Upinzani Bungeni. Mtu aliyekuza na kuibua vipaji vya vijana wengi sana hapa Nchini. Mtu aliyekuwa na moyo wa uvumilivu, upendo,ustahimilivu ,subira na kuupa muda nafasi.
Mtu aliyetumia mikono yake kuwalea ,kuwavusha na kuwafungulia njia vijana wengi sana hapa Nchini. Mtu aliyewabeba vijana mabegani mwake na kuwapeleka ng'ambo ya pili ya mto,mtu aliyekuwa na chemchemi ya upendo kifuani kwake kwa vijana. Mtu aliyeinua vijana wengi na kuwapa majukwaa ya kuzungumza na wananchi,mtu aliyewatambulisha vijana wengi katika anga la siasa za nchi hii.
Ni mtu aliyezijua siasa za Upinzani,mtu aliyejua namna ya kudhibiti Mihemuko ya vijana wake,mtu aliyejua kusaka vipaji,kuendana na vijana wa kizazi hiki. Mtu aliyejua maana ya siasa siyo uadui,mtu aliyejua Kuna wakati kunahitaji kukaa mezani na kufanya mazungumzo .
Ni mtu aliyetumia muda wake mwingi, pesa zake,mali zake , rasilimali zake na Maisha yake yoote kuijenga CHADEMA na kuifikisha hapo ilipo. Alikuwa ni Daraja la matumaini kwa vijana na watu wengi wenye ndoto za uongozi kwa Nchi hii kwa ngazi za udiwani na Ubunge. Alikuwa ni Mwalimu wa siasa za Upinzani,alikuwa mfano halisi wa mtu aliyekomaa kiakili na kumudu siasa za upinzani.
Alijua kulitawala jukwaa,alijua kuteka mioyo ya Wafuasi wake ,alijua kupangilia maneno yake ,alijua nini anakifanya. Leo yupo pembeni ,leo yupo kando ,leo yupo na Mambo yake ,leo yupo Nje ya uongozi lakini kimvuli chake kingalipo ndani ya CHADEMA,bado unaona nafasi yake na sauti yake ilihitajika kuendelea kuiongoza CHADEMA.
Alikuwa na moyo wa unyenyekevu katika ubinadamu wake ,alikuwa na moyo wa kusamehe na kusonga mbele. Aliweza kukaa mezani na yeyote yule na kuungana na yeyote yule katika kukijenga chama chake alichokijenga kwa jasho na Damu katika ujana wake wote mpaka umri alionao kwa sasa.
Waliofanya maamuzi ya Mihemuko na kukurupuka leo hili wanajutia maamuzi yao na wanatamani muda urudi nyuma na wampigie kura za ndio kwa kishindo kikuu. Leo wanatamani afungue hata kinywa chake ili azungumze nao ,leo ukimya wake unawatesa wana CHADEMA wote waliomtusi na kumuumiza kwa maneno ya kejeri na dharau pamoja na kumdhalilisha.
Leo chama kimeshikwa na watu wasio na muelekeo wala Dira wala maono. Chama kinakwenda kama kipofu gizani au gari lililokatika breki mteremkoni .Chama kinaendeshwa kilevi kilevi tu. Kila siku chama kinaendelea kupoteza nuru . na mpaka sasa hakina ushawishi hata wa kuweza kupata wagombea wa kusimama majukwaani kuomba kura.
Watanzania nimewaleteeni somo hili ili mjue na kuogopa kufanya maamuzi ya kukurupuka. Tumieni haki yenu ya kikatiba kuhakikisha mwezi wa Kumi mnakwenda kwenye vituo vya kupigia kura kwenda kutiki kwa Rais Samia Suluhu Hasssan Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi pamoja na wagombea wote wa ngazi za ubunge na udiwani watakaokuwa wamesimamishwa na CCM.View attachment 3389496View attachment 3389498View attachment 3389500
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ndugu zangu Watanzania,
Huyu Hapa Mwamba Na Jabali la Siasa za Upinzani hapa Nchini Mheshimiwa Freeman Mbowe Mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA na kiongozi wa kambi ya Upinzani Bungeni. Mtu aliyekuza na kuibua vipaji vya vijana wengi sana hapa Nchini. Mtu aliyekuwa na moyo wa uvumilivu, upendo,ustahimilivu ,subira na kuupa muda nafasi.
Mtu aliyetumia mikono yake kuwalea ,kuwavusha na kuwafungulia njia vijana wengi sana hapa Nchini. Mtu aliyewabeba vijana mabegani mwake na kuwapeleka ng'ambo ya pili ya mto,mtu aliyekuwa na chemchemi ya upendo kifuani kwake kwa vijana. Mtu aliyeinua vijana wengi na kuwapa majukwaa ya kuzungumza na wananchi,mtu aliyewatambulisha vijana wengi katika anga la siasa za nchi hii.
Ni mtu aliyezijua siasa za Upinzani,mtu aliyejua namna ya kudhibiti Mihemuko ya vijana wake,mtu aliyejua kusaka vipaji,kuendana na vijana wa kizazi hiki. Mtu aliyejua maana ya siasa siyo uadui,mtu aliyejua Kuna wakati kunahitaji kukaa mezani na kufanya mazungumzo .
Ni mtu aliyetumia muda wake mwingi, pesa zake,mali zake , rasilimali zake na Maisha yake yoote kuijenga CHADEMA na kuifikisha hapo ilipo. Alikuwa ni Daraja la matumaini kwa vijana na watu wengi wenye ndoto za uongozi kwa Nchi hii kwa ngazi za udiwani na Ubunge. Alikuwa ni Mwalimu wa siasa za Upinzani,alikuwa mfano halisi wa mtu aliyekomaa kiakili na kumudu siasa za upinzani.
Alijua kulitawala jukwaa,alijua kuteka mioyo ya Wafuasi wake ,alijua kupangilia maneno yake ,alijua nini anakifanya. Leo yupo pembeni ,leo yupo kando ,leo yupo na Mambo yake ,leo yupo Nje ya uongozi lakini kimvuli chake kingalipo ndani ya CHADEMA,bado unaona nafasi yake na sauti yake ilihitajika kuendelea kuiongoza CHADEMA.
Alikuwa na moyo wa unyenyekevu katika ubinadamu wake ,alikuwa na moyo wa kusamehe na kusonga mbele. Aliweza kukaa mezani na yeyote yule na kuungana na yeyote yule katika kukijenga chama chake alichokijenga kwa jasho na Damu katika ujana wake wote mpaka umri alionao kwa sasa.
Waliofanya maamuzi ya Mihemuko na kukurupuka leo hili wanajutia maamuzi yao na wanatamani muda urudi nyuma na wampigie kura za ndio kwa kishindo kikuu. Leo wanatamani afungue hata kinywa chake ili azungumze nao ,leo ukimya wake unawatesa wana CHADEMA wote waliomtusi na kumuumiza kwa maneno ya kejeri na dharau pamoja na kumdhalilisha.
Leo chama kimeshikwa na watu wasio na muelekeo wala Dira wala maono. Chama kinakwenda kama kipofu gizani au gari lililokatika breki mteremkoni .Chama kinaendeshwa kilevi kilevi tu. Kila siku chama kinaendelea kupoteza nuru . na mpaka sasa hakina ushawishi hata wa kuweza kupata wagombea wa kusimama majukwaani kuomba kura.
Watanzania nimewaleteeni somo hili ili mjue na kuogopa kufanya maamuzi ya kukurupuka. Tumieni haki yenu ya kikatiba kuhakikisha mwezi wa Kumi mnakwenda kwenye vituo vya kupigia kura kwenda kutiki kwa Rais Samia Suluhu Hasssan Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi pamoja na wagombea wote wa ngazi za ubunge na udiwani watakaokuwa wamesimamishwa na CCM.View attachment 3389496View attachment 3389498View attachment 3389500
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kilaza MwenyeweMbowe ni kilaza sana wizi na biashara haramu ndiyo anavijua tu
una ushahidi mkuu?Mbowe alikwapua pesa zote za chadema akina Lisu wameanza moja, Mbowe ni mwizi balaa
Na huyo pembeni ndio Wewe?!!Ndugu zangu Watanzania,

mkuuMbowe ndiyo chanzo cha Lisu kwenda jela, Mbowe kala njama na ibirisi wa ccm ili Lisu aende jela kisha Mbowe aihujumu kuudhofisha chadema kwa njia haramu za kishetani, kawauza G55 na wanachama wa chadema kwa Amos makala na yeye kuwasokomeza Chauma ubwabwa ambapo anakula 10% kila pesa inayotoka ccm kwenda Chaumaccm, Mbowe ni mtu wa hovyo sana
Weka ushahidi wako hapa wewe uliyejaa wivu na chuki binafsiBiashara gani? Hizo biashara za miziki zilikuwa za pesa mbuzi ya kula tu, Mbowe ni mwizi kaiba pesa nyingi za luzuku ya chadema miaka yote, alipewa mabilioni alipotoka jela na sasa anapata mabilioni kwa kuwauza G55 kwa Amos makala na yeye kuwasokomeza chauma ubwabwa ambapo anakula 10% percent kila pesa inayotoka kwa ibirisi wa ccm kwenda Chaumaccm chama haramu cha kishetani
Ndugu zangu Watanzania,
Huyu Hapa Mwamba Na Jabali la Siasa za Upinzani hapa Nchini Mheshimiwa Freeman Mbowe Mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA na kiongozi wa kambi ya Upinzani Bungeni. Mtu aliyekuza na kuibua vipaji vya vijana wengi sana hapa Nchini. Mtu aliyekuwa na moyo wa uvumilivu, upendo,ustahimilivu ,subira na kuupa muda nafasi.
Mtu aliyetumia mikono yake kuwalea ,kuwavusha na kuwafungulia njia vijana wengi sana hapa Nchini. Mtu aliyewabeba vijana mabegani mwake na kuwapeleka ng'ambo ya pili ya mto,mtu aliyekuwa na chemchemi ya upendo kifuani kwake kwa vijana. Mtu aliyeinua vijana wengi na kuwapa majukwaa ya kuzungumza na wananchi,mtu aliyewatambulisha vijana wengi katika anga la siasa za nchi hii.
Ni mtu aliyezijua siasa za Upinzani,mtu aliyejua namna ya kudhibiti Mihemuko ya vijana wake,mtu aliyejua kusaka vipaji,kuendana na vijana wa kizazi hiki. Mtu aliyejua maana ya siasa siyo uadui,mtu aliyejua Kuna wakati kunahitaji kukaa mezani na kufanya mazungumzo .
Ni mtu aliyetumia muda wake mwingi, pesa zake,mali zake , rasilimali zake na Maisha yake yoote kuijenga CHADEMA na kuifikisha hapo ilipo. Alikuwa ni Daraja la matumaini kwa vijana na watu wengi wenye ndoto za uongozi kwa Nchi hii kwa ngazi za udiwani na Ubunge. Alikuwa ni Mwalimu wa siasa za Upinzani,alikuwa mfano halisi wa mtu aliyekomaa kiakili na kumudu siasa za upinzani.
Alijua kulitawala jukwaa,alijua kuteka mioyo ya Wafuasi wake ,alijua kupangilia maneno yake ,alijua nini anakifanya. Leo yupo pembeni ,leo yupo kando ,leo yupo na Mambo yake ,leo yupo Nje ya uongozi lakini kimvuli chake kingalipo ndani ya CHADEMA,bado unaona nafasi yake na sauti yake ilihitajika kuendelea kuiongoza CHADEMA.
Alikuwa na moyo wa unyenyekevu katika ubinadamu wake ,alikuwa na moyo wa kusamehe na kusonga mbele. Aliweza kukaa mezani na yeyote yule na kuungana na yeyote yule katika kukijenga chama chake alichokijenga kwa jasho na Damu katika ujana wake wote mpaka umri alionao kwa sasa.
Waliofanya maamuzi ya Mihemuko na kukurupuka leo hili wanajutia maamuzi yao na wanatamani muda urudi nyuma na wampigie kura za ndio kwa kishindo kikuu. Leo wanatamani afungue hata kinywa chake ili azungumze nao ,leo ukimya wake unawatesa wana CHADEMA wote waliomtusi na kumuumiza kwa maneno ya kejeri na dharau pamoja na kumdhalilisha.
Leo chama kimeshikwa na watu wasio na muelekeo wala Dira wala maono. Chama kinakwenda kama kipofu gizani au gari lililokatika breki mteremkoni .Chama kinaendeshwa kilevi kilevi tu. Kila siku chama kinaendelea kupoteza nuru . na mpaka sasa hakina ushawishi hata wa kuweza kupata wagombea wa kusimama majukwaani kuomba kura.
Watanzania nimewaleteeni somo hili ili mjue na kuogopa kufanya maamuzi ya kukurupuka. Tumieni haki yenu ya kikatiba kuhakikisha mwezi wa Kumi mnakwenda kwenye vituo vya kupigia kura kwenda kutiki kwa Rais Samia Suluhu Hasssan Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi pamoja na wagombea wote wa ngazi za ubunge na udiwani watakaokuwa wamesimamishwa na CCM.View attachment 3389496View attachment 3389498View attachment 3389500
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mimi ni Mwashambwa Lucas . Na huyo pichani ni Yericko Nyerere Mwandishi wa vitabu vya kijasusiNa huyo pembeni ndio Wewe?!!
hapana mkuuMmefeli pabaya sana. Lisu anawatoa uharo
Uchaguzi upo palepale na utafanyika kama ilivyopangwa
Ni wewe Lukas!Pichani huyo mwingine ni Yericko Nyerere
Umechambua vizuri sana . Lissu anapaswa kuongozwa na siyo kuongoza .hapana mkuu
mimi ni mshabiki wa Lissu as a politician
sina tatizo kabisa na umaahiri wake
ila mimi napenda taasisi zaidi kuliko yeye kama individual
Lissu ana mapungufu yake,Lissu sio kiongozi mzuri wa taasisi
hapo tu
na pia ni muongo,utendaji wake sio mzuri na hana akili kama tunavyodhani
hii miezi 6 imetuonesha wazi kabisa,Lissu anatakiwa kuongozwa,kuandaliwa kila kitu yeye aendeleze umashuhuri wake
Lissu sio builder,yeye ni mtumiaji....
pair yake na Mbowe ilikua the best maana Mbowe alikua anajua kumsetia mazingira bora ya yeye kua bora
Unfortunately Lissu alidhani anajua kuendesha gari kumbe sio kweli
Kama ni kufungwa,wote walifungwa na mtu huyo huyo,na kama kunyimwa ruzuku wote walinyimwa,ila chadema ya Mbowe ilifanikiwa kusurvive successfully sehemu zote hizo
Leo ndugu mashuhuri Lissu,same script inampigia chama kinakufa,who had bigger brains?
Unajua kusifia hadi nalowa kwa machozi ya Huzuni!Hii mada ni kwa wenye akili Timamu. Kwa hiyo ni vyema ukakaa pembeni kwanza.
Kumbe Lukas MwashambwaNiliamua niache chuo nifatilie mabandiko yako hp jf, siwez ishi bila lucas