PICHA: Freeman Mbowe katika uso wa tabasamu na furaha kubwa hii leo Juni 30, 2025

PICHA: Freeman Mbowe katika uso wa tabasamu na furaha kubwa hii leo Juni 30, 2025

Ndugu zangu Watanzania,

Huyu Hapa Mwamba Na Jabali la Siasa za Upinzani hapa Nchini Mheshimiwa Freeman Mbowe Mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA na kiongozi wa kambi ya Upinzani Bungeni. Mtu aliyekuza na kuibua vipaji vya vijana wengi sana hapa Nchini. Mtu aliyekuwa na moyo wa uvumilivu, upendo,ustahimilivu ,subira na kuupa muda nafasi.

Mtu aliyetumia mikono yake kuwalea ,kuwavusha na kuwafungulia njia vijana wengi sana hapa Nchini. Mtu aliyewabeba vijana mabegani mwake na kuwapeleka ng'ambo ya pili ya mto,mtu aliyekuwa na chemchemi ya upendo kifuani kwake kwa vijana. Mtu aliyeinua vijana wengi na kuwapa majukwaa ya kuzungumza na wananchi,mtu aliyewatambulisha vijana wengi katika anga la siasa za nchi hii.

Ni mtu aliyezijua siasa za Upinzani,mtu aliyejua namna ya kudhibiti Mihemuko ya vijana wake,mtu aliyejua kusaka vipaji,kuendana na vijana wa kizazi hiki. Mtu aliyejua maana ya siasa siyo uadui,mtu aliyejua Kuna wakati kunahitaji kukaa mezani na kufanya mazungumzo .

Ni mtu aliyetumia muda wake mwingi, pesa zake,mali zake , rasilimali zake na Maisha yake yoote kuijenga CHADEMA na kuifikisha hapo ilipo. Alikuwa ni Daraja la matumaini kwa vijana na watu wengi wenye ndoto za uongozi kwa Nchi hii kwa ngazi za udiwani na Ubunge. Alikuwa ni Mwalimu wa siasa za Upinzani,alikuwa mfano halisi wa mtu aliyekomaa kiakili na kumudu siasa za upinzani.

Alijua kulitawala jukwaa,alijua kuteka mioyo ya Wafuasi wake ,alijua kupangilia maneno yake ,alijua nini anakifanya. Leo yupo pembeni ,leo yupo kando ,leo yupo na Mambo yake ,leo yupo Nje ya uongozi lakini kimvuli chake kingalipo ndani ya CHADEMA,bado unaona nafasi yake na sauti yake ilihitajika kuendelea kuiongoza CHADEMA.

Alikuwa na moyo wa unyenyekevu katika ubinadamu wake ,alikuwa na moyo wa kusamehe na kusonga mbele. Aliweza kukaa mezani na yeyote yule na kuungana na yeyote yule katika kukijenga chama chake alichokijenga kwa jasho na Damu katika ujana wake wote mpaka umri alionao kwa sasa.

Waliofanya maamuzi ya Mihemuko na kukurupuka leo hili wanajutia maamuzi yao na wanatamani muda urudi nyuma na wampigie kura za ndio kwa kishindo kikuu. Leo wanatamani afungue hata kinywa chake ili azungumze nao ,leo ukimya wake unawatesa wana CHADEMA wote waliomtusi na kumuumiza kwa maneno ya kejeri na dharau pamoja na kumdhalilisha.

Leo chama kimeshikwa na watu wasio na muelekeo wala Dira wala maono. Chama kinakwenda kama kipofu gizani au gari lililokatika breki mteremkoni .Chama kinaendeshwa kilevi kilevi tu. Kila siku chama kinaendelea kupoteza nuru . na mpaka sasa hakina ushawishi hata wa kuweza kupata wagombea wa kusimama majukwaani kuomba kura.

Watanzania nimewaleteeni somo hili ili mjue na kuogopa kufanya maamuzi ya kukurupuka. Tumieni haki yenu ya kikatiba kuhakikisha mwezi wa Kumi mnakwenda kwenye vituo vya kupigia kura kwenda kutiki kwa Rais Samia Suluhu Hasssan Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi pamoja na wagombea wote wa ngazi za ubunge na udiwani watakaokuwa wamesimamishwa na CCM.View attachment 3389496View attachment 3389498View attachment 3389500

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hivi una marinda kweli wewe huko nyuma makalioni?
 
Umekwama parefu sana Chawa. Mwambie na Huyo mama amekwama parefu sana. No reforms, No Elections ndo msimamo wa wananchi. Huyo ni mfanyabiashara, ananunulika. Jembe Lisu limegoma kusujudu na kununulika, limewatikisa mpaka mnashindwa kupumua, na bado sindano zinazidi kuwaingia. By the way, hivi kwa nini mlimpakazia ile kesi ya ugaidi?
yeah,mnampenda sana Lissu

naona hamjali taasisi nzuri mliyoikuta inayoitwa Chadema

mpo radhi ife kumlinda mtu

i wonder,Lissu akihama chama mnahama nae

Chadema mmeikuta nzuri kabisa,ina uimara bora kabisa,kwa miezi 6 that is not the same!

Lissu umaarufu ukichuja kama wa Lyatonga,mtakuta hamna taasisi

On top of that,lissu hana uwezo wa kugundua,kulea na kuvipa vipaji vipya nafasi ya kung'ara zaidi yake,this will be a major problem
 
Mgombea Urais wa Chauma!!
Pesa inayotumika kuipakata kuilea kuilisha kuihudumia Chaumaccm ni kubwa sana na kila cent inayotoka kwa ibirisi wa ccm kwenda chauma ubwabwa Mbowe na Amos makala wana 10% percent yao, ni mradi haramu wa kishetani ni wizi wa pesa wa pesa za walipa kodi, Mbowe ni mtu wa hovyo sana
 
Chawa wa ccm akimsifia mtu, basi ujue mtu huyo naye kawa chawa wa ......
 
yeah,mnampenda sana Lissu

naona hamjali taasisi nzuri mliyoikuta inayoitwa Chadema

mpo radhi ife kumlinda mtu

i wonder,Lissu akihama chama mnahama nae

Chadema mmeikuta nzuri kabisa,ina uimara bora kabisa,kwa miezi 6 that is not the same!

Lissu umaarufu ukichuja kama wa Lyatonga,mtakuta hamna taasisi

On top of that,lissu hana uwezo wa kugundua,kulea na kuvipa vipaji vipya nafasi ya kung'ara zaidi yake,this will be a major problem
Chadema ilikua inahujumiwa na Mbowe, sio Lisu
 
Nyerere mwenyewe hata baada ya kustaafu, aliendelea kupaza sauti kupinga maovu ya watala. Sasa huyu anae kaa kimya licha ya madudu yote yanayoendelea ni mwanasiasa kweli wa kutetea dhulumu na uonevu dhidi ya wananchi?

Hata kuandika tu chochote ameshindwa?

Bora hata Askofu Bagonza na wengineo kuliko Mbowe.

Yeye alipowekwa ndani wenzake walikaa kimya?

No wonder alimuokoa Masauni kwenye msiba wa Mzee Kibao ila uzuri Lema alimpa ukweli wake.
mnamtaka sana Mbowe

mnataka sana endorsement ya Mbowe

you cant sleep

mnapata matatizo,akili ya kusolve hayo matatizo hamna,mnamtaka Mbowe

mnamtukana asubuhi mpaka jioni,still mnamtaka aje kuwasaidia?

really?

kuwe na mazingira ya heshima na kukaribishana sio kumtukana aje kama kikaragosi

na hii si kwa mbowe tu

hii chadema mpya ina tatizo la kupata talent na ku-retain hiyo talent,wote wanaondoka sababu ya kutukanwa na kudharaulika

wakiondoka mnaanza kulia

aiseee
 
yeah,mnampenda sana Lissu

naona hamjali taasisi nzuri mliyoikuta inayoitwa Chadema

mpo radhi ife kumlinda mtu

i wonder,Lissu akihama chama mnahama nae

Chadema mmeikuta nzuri kabisa,ina uimara bora kabisa,kwa miezi 6 that is not the same!

Lissu umaarufu ukichuja kama wa Lyatonga,mtakuta hamna taasisi

On top of that,lissu hana uwezo wa kugundua,kulea na kuvipa vipaji vipya nafasi ya kung'ara zaidi yake,this will be a major problem
Haahaa mbowe kasusa kisa kashindwa uchaguzi, sio sawa
 
Chadema ilikua inahujumiwa na Mbowe, sio Lisu
Lissu alikua namba mbili kwa madaraka ndani ya chadema kwa miaka 20

alifanya nini?

HAKUNA

Unaongea as if Lissu kashuka mbinguni leo,alikuwepo chadema kwa miaka 20 na alikua mtoa maamuzi namba mbili kwa cheo

kama kuna makosa yalifanyika,yeye anahusika pia moja kwa moja

Mbowe mhujumu,Lissu yeye ni malaika hana kosa na alikuwepo kwenye uongozi huo huo kwa miaka 20?

nani aamini huu usenge?

yaani bado mnamsingizia mbowe kila kitu?

mlisema mna majawabu ya makosa yote yaliyofanyika,kumbe hayo majawabu hamna!

MLIwadanganya wapiga kura wenu

kadanganyeni watoto huko
 
mnamtaka sana Mbowe

mnataka sana endorsement ya Mbowe

you cant sleep

mnapata matatizo,akili ya kusolve hayo matatizo hamna,mnamtaka Mbowe

mnamtukana asubuhi mpaka jioni,still mnamtaka aje kuwasaidia?

really?

kuwe na mazingira ya heshima na kukaribishana sio kumtukana aje kama kikaragosi

na hii si kwa mbowe tu

hii chadema mpya ina tatizo la kupata talent na ku-retain hiyo talent,wote wanaondoka sababu ya kutukanwa na kudharaulika

wakiondoka mnaanza kulia

aiseee
Mbowe ndiyo chanzo cha Lisu kwenda jela, Mbowe kala njama na ibirisi wa ccm ili Lisu aende jela kisha Mbowe aihujumu kuudhofisha chadema kwa njia haramu za kishetani, kawauza G55 na wanachama wa chadema kwa Amos makala na yeye kuwasokomeza Chauma ubwabwa ambapo anakula 10% kila pesa inayotoka ccm kwenda Chaumaccm, Mbowe ni mtu wa hovyo sana
 
Mbowe alikwapua pesa zote za chadema akina Lisu wameanza moja, Mbowe ni mwizi balaa
Ukiona mtu anamtetea Mbowe ni watu aina mbili wale waliokua wanaonufaika na Mbowe kua chadema hao wako CCM na ilikua project yao Mbowe sasa kafurumushwa na siasa zake za kitapeli watu wamekufa kwa ajili yake Mfano Mawazo, Mzee Kibao na wakina Soka yeye kwasababu siasa Ali fanya biashara mda wake umeisha kila lenye mwazo lina mwisho
 
Back
Top Bottom