Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
- Thread starter
- #61
Mheshimiwa Mbowe ameanza kufanya biashara kabla hata wewe hujazaliwa.Mwambie siasa za biashara zimefungwa rasmi CDM, biashara zake akazihamishie huko Chaumma.
Mheshimiwa Mbowe ameanza kufanya biashara kabla hata wewe hujazaliwa.Mwambie siasa za biashara zimefungwa rasmi CDM, biashara zake akazihamishie huko Chaumma.
Hakustaafu alifukuzwaNdugu zangu Watanzania,
Huyu Hapa Mwamba Na Jabali la Siasa za Upinzani hapa Nchini Mheshimiwa Freeman Mbowe Mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA na kiongozi wa kambi ya Upinzani Bungeni.
🤣 Hahaha hili lijamaa tusingepiga hatua lilikuwa linatutapeli WanainchHapa tayari alishapotea.Konyagi nyoko sana tena ya mchana wa jua kali.View attachment 3389519View attachment 3389519
Sio ayatollah mbowe tena?! Mafi kwelikweli nyieMbowe ni mwanasiasa wa mfano Afrika kwenye siasa za upinzani.
Mama ni Kama Maji usipoyanywa utayaoga tuuuStory inamuhusu mbowe, mwishoni umeharibu na mama mama mamama mammaa.
Kama toto linalodeka!
Pichani huyo mwingine ni Yericko NyerereUjue unaweza kukuta huyo pichani ndio Lucas Mwashambwa 🤔😀
HapanaJe, Lucas = Yerricko?
Mama yako maji ya shingo yamemfika, Bungeni Juzi alikosa kabisa kujiamini, alionekana kujaa waswas mwingi, alionekana ni mtu aliyekata tamaa kabisa. Mwisho wenu umefikaaa. Pigia mstari hiloMama ni Kama Maji usipoyanywa utayaoga tuuu
Uwe na heshima kwa mtu aliyejitolea muda na mali zake kukijenga chama. Ona akina lissu na heche wameingia tu wakaanza michango muda wote kwa ajili ya kuhudumia matumbo yao.🤣 Hahaha hili lijamaa tusingepiga hatua lilikuwa linatutapeli Wanainch
Mama anaendelea kutamba kwa kishindo hadi 2030. Hakuna wa kumtikisa kitini alipoketi.Mama yako maji ya shingo yamemfika, Bungeni Juzi alikosa kabisa kujiamini, alionekana kujaa waswas mwingi, alionekana ni mtu aliyekata tamaa kabisa. Mwisho wenu umefikaaa. Pigia mstari hilo
UNAFIKI TUU ,KICHUNGI CHA SIGARA WEWE ,HUNA LOLOTE ,SIJUI HATA HIYO SHULE ULIKUWA UNASOMA NINI KAMA HIZI NDIO MAPAMBIO YAKO NATAWAAMBIA JAMIIFORUM WAKUFUNGIEUlifundishwa na nani ujinga wa kuandika kwa herufi kubwa maelezo yako?
Na wewe kafanye biashara kama ni rahisi.Dalali wa Kisiasa katika Ubora wake, Mbowe ni Mfanyabiashara ila Lissu ni mpambanaji haswa, Lissu angekuwa njaa na tamaa kwasasa pengine angekuwa na cheo kikubwa sana
Mbowe hana mvuto wowote kisiasa kwa sasa ndo maana hata kwenye chama chake alishindwa uchaguzi wa huru na haki huyo siasa zimempitaNyerere mwenyewe hata baada ya kustaafu, aliendelea kupaza sauti kupinga maovu ya watala. Sasa huyu anae kaa kimya licha ya madudu yote yanayoendelea ni mwanasiasa kweli wa kutetea dhulumu na uonevu dhidi ya wananchi?
Hata kuandika tu chochote ameshindwa?
Bora hata Askofu Bagonza na wengineo kuliko Mbowe.
Yeye alipowekwa ndani wenzake walikaa kimya?
No wonder alimuokoa Masauni kwenye msiba wa Mzee Kibao ila uzuri Lema alimpa ukweli wake.
Ashapoteana huyo. Hakubaliki uraiani, anachoweza ni kutumia mapolisi tu. Halafu acha kama wewe sio mnafiki jibu swali nililokuuliza, leo unamsifiaje mbowe wakati ndo nyie nyie mlompa kesi ya Ugaidi?Mama anaendelea kutamba kwa kishindo hadi 2030. Hakuna wa kumtikisa kitini alipoketi.
Na wewe jenga Upinzani wako na siyo kupiga makelele huku jukwaani wakati mbowe amepigana na kuijenga CHADEMA kwa nguvu zake zote na kwa maisha yake yote