Angekua amesahaulika usingekua unamtaja taja kila siku. Bahati mbaya huwa hataki shobo na watu kama wewe. Nimekuuliza swali, huyo mbowe unayemsifia leo, kwa nini mlimbambika kesi ya ugaidi?Lissu ni debe tupu na ndio Maana unaona alisha sahaulika kabisa midomoni mwa watanzania
Heche hajitambui kabisa na mdomo wake ule wa uropokajiDah, Ila siasa ni field ya ajabu sana. Mbowe alivyoishia kutukanwa na kudhihakiwa na kina Heche! Sikuamini..!
Halafu walipofanikiwa Heche akanza Kumwita Mwenyekiti wetu Mungu akubariki sana kwa kazi kubwa ulioifanya CHADEMA!
Nyerere mwenyewe hata baada ya kustaafu, aliendelea kupaza sauti kupinga maovu ya watala. Sasa huyu anae kaa kimya licha ya madudu yote yanayoendelea ni mwanasiasa kweli wa kutetea dhulumu na uonevu dhidi ya wananchi?Mbowe ni mwanasiasa wa mfano Afrika kwenye siasa za upinzani.
Wapi nilipomtaja huyo Mropokaji wako?Angekua amesahaulika usingekua unamtaja taja kila siku. Bahati mbaya huwa hataki shobo na watu kama wewe. Nimekuuliza swali, huyo mbowe unayemsifia leo, kwa nini mlimbambika kesi ya ugaidi?
Hebu orodhesha hayo matusi aliyotukanwa na kina heche. ChawaDah, Ila siasa ni field ya ajabu sana. Mbowe alivyoishia kutukanwa na kudhihakiwa na kina Heche! Sikuamini..!
Halafu walipofanikiwa Heche akanza Kumwita Mwenyekiti wetu Mungu akubariki sana kwa kazi kubwa ulioifanya CHADEMA!
Najua mnaumia sana na kuteseka sana mioyo wenu mnapoona Mwamba amejikalia kimya na kuwaacha na ujuaji wenu. Pambaneni kivyenu. Si mlijifanya wajuaji?Nyerere mwenyewe hata baada ya kustaafu, aliendelea kupaza sauti kupinga maovu ya watala. Sasa huyu anae kaa kimya licha ya madudu yote yanayoendelea ni mwanasiasa kweli wa kutetea dhulumu na uonevu dhidi ya wananchi?
Hata kuandika tu chochote ameshindwa?
Bora Askofu Bagonza na wengineo kuliko Mbowe.
Yeye alipowekwa ndani wenzake walikaa kimya?
No wonder alimuokoa Masauni kwenye msiba wa Mzee Kibao ila uzuri Lema alimpa ukweli wake.
Jibu swali, kesi ya UgaidiWapi nilipomtaja huyo Mropokaji wako?
Nikajua nimeona peke yanguMwamba kakonda
Huyo sio mwanasiasa tena wa kuongoza mageuzi.Najua mnaumia sana na kuteseka sana mioyo wenu mnapoona Mwamba amejikalia kimya na kuwaacha na ujuaji wenu. Pambaneni kivyenu. Si mlijifanya wajuaji?
Mwanaume ambaye anajivua uanaume wake na kukubali kutumika kinyume cha maumbile atakuwaje na akili timamu?We
we Nina Uhakika Unamatatizo ya Akili si Mzima KABISA
Wewe ndiye tapeli na kwenye chuki binafsiTapeli mkubwa na tapeli mdogo
Ndugu zangu Watanzania,
Huyu Hapa Mwamba Na Jabali la Siasa za Upinzani hapa Nchini Mheshimiwa Freeman Mbowe Mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA na kiongozi wa kambi ya Upinzani Bungeni. Mtu aliyekuza na kuibua vipaji vya vijana wengi sana hapa Nchini. Mtu aliyekuwa na moyo wa uvumilivu, upendo,ustahimilivu ,subira na kuupa muda nafasi.
Ni mtu aliyezijua siasa za Upinzani,mtu aliyejua namna ya kudhibiti Mihemuko ya vijana wake,mtu aliyejua kusaka vipaji,kuendana na vijana wa kizazi hiki. Mtu aliyejua maana ya siasa siyo uadui,mtu aliyejua Kuna wakati kunahitaji kukaa mezani na kufanya mazungumzo .
Ni mtu aliyetumia muda wake mwingi, pesa zake,mali zake , rasilimali zake na Maisha yake yoote kuijenga CHADEMA na kuifikisha hapo ilipo. Alikuwa ni Daraja la matumaini kwa vijana na watu wengi wenye ndoto za uongozi kwa Nchi hii kwa ngazi za udiwani na Ubunge. Alikuwa ni Mwalimu wa siasa za Upinzani,alikuwa mfano halisi wa mtu aliyekomaa kiakili na kumudu siasa za upinzani.
Alijua kujitawala jukwaa,alijua kuteka mioyo ya Wafuasi wake ,alijua kupanguilia maneno yake ,alijua nini anakifanya. Leo yupo pembeni ,leo yupo kanda ,leo yupo na Mambo yake ,leo yupo Nje ya uongozi lakini kimvuli chake kingalipo ndani ya CHADEMA,bado unaona nafasi yake na sauti yake ilihitajika kuendelea kuiongoza CHADEMA.
Alikuwa na moyo wa unyenyekevu katika ubinadamu wake ,alikuwa na moyo wa kusamehe na kusonga mbele. Aliweza kukaa mezani na yeyote yule na kuungana na yeyote yule katika kukijenga chama chake alichokijenga kwa jasho na Damu katika ujana wake wote mpaka umri alionao kwa sasa.
Waliofanya maamuzi ya Mihemuko na kukurupuka leo hili wanajutia maamuzi yao na wanatamani muda urudi nyuma na wampigie kura za ndio kwa kishindo kikuu. Leo wanatamani afungue hata kinywa chake ili azungumze nao ,leo ukimya wake unawatesa wana CHADEMA wote waliomtusi na kumuumiza kwa maneno ya kejeri na dharau pamoja na kumdhalilisha.
Leo chama kimeshikwa na watu wasio na muelekeo wala Dira wala maono. Chama kinakwenda kama kipofu gizani au gari lililokatika breki. Chaka kinaendeshwa kilevi kilevi tu. Kila siku chama kinaendelea kupoteza nuru na mpaka sasa hakina ushawishi hata wa kuweza kupata wagombea wa kusimama majukwaani kuomba kura.
Watanzania nimewaleteeni somo hili ili mjue na kuogopa kufanya maamuzi ya kukurupuka. Tumieni haki yenu na kikatiba kuhakikisha mwezi wa Kumi mnakwenda kwenye vituo vya kupigia kura kwenda kutiki kwa Rais Samia Suluhu Hasssan Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi pamoja na wagombea wote wa ngazi za ubunge na udiwani watakaokuwa wamesimamishwa na CCM.View attachment 3389496View attachment 3389498View attachment 3389500
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Tungemhitaji tusingefanya uchaguzi, tungemuacha aendelee kuwa mwenye kiti. Lakini kwa sababu ananunulika kirahisi na CCM, tuliona hatufikishi popote kwenye harakati za kujikomboa kutoka kwa mkoloni mweusi CCM. Sasa tumefika tulipopataka na naona mnakaribia kujiharishia.Najua mnaumia sana na kuteseka sana mioyo wenu mnapoona Mwamba amejikalia kimya na kuwaacha na ujuaji wenu. Pambaneni kivyenu. Si mlijifanya wajuaji?
Ungeacha wenye akili Timamu wajadili hoja. Hapa siyo uwanja wa machizi na vichaa 😀😀Mwanaume ambaye anajivua uanaume wake na kukubali kutumika kinyume cha maumbile atakuwaje na akili timamu?
Hivi kwa nini RPC wa Dodoma alihamishwa? Au ni ile nyomi ya NRNE, by the way, ile nyomi na zingine zote zilikua zinaenda mikutanoni kwa ridhaa zao, sio kwa kusombwa na malori na matrekta kama magunia ya mkaa. Huo ndo ushawishi kwa watu, CCM ndo hamna ushawishi kabisaaa, mmebakia kutumia polisi, mahakama na msajili tu.Anastahili heshima yake katika ujenzi wa upinzani imara wakati wake. Tofauti na wa sasa wasio na Dira wala muelekeo wala ushawishi kwa watu
Umeniwahi nilitaka kusema hivo piaMwamba kakonda
Kwa hiyo mama akikatazwa kugombea ndani ya sisiem unaenda kuwa chawa wa Mbowe, siyo?.Ndugu zangu Watanzania,