Cash Money Forever
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 944
- 1,682
Hata mie, maana mtangazaji mmoja wa TBC alisema hivyo.Nilifikiri ni product ya Nyumbu duh.
Alisema nn!?Hata mie, maana mtangazaji mmoja wa TBC alisema hivyo.
Alisema ni product ya Nyumbu.Alisema nn!?
Nyumbu gani tena?Nilifikiri ni product ya Nyumbu duh.
Tuombe lisije kuzima kwenye mataa na camera ziko on( live) itakuwa aibu kwa taifa kama aibu za mkalimani wetu pendwa
N.b uzuri jpm hayupo angeanza na mkalimani
H3 yenyewe walilainisha sana ni cc3500,5cylinders only.Sasa raia hawazitaki Marekani ilitokea movement wakawa raia wanazitia kiberiti eti zinachafua mazingira kwa kutumia mafuta mengi.
Na mm nilimsikiaHata mie, maana mtangazaji mmoja wa TBC alisema hivyo.
H1 lina cc ngapi?H3 yenyewe walilainisha sana ni cc3500,5cylinders only.