Cash Money Forever
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 944
- 1,682
H1 toleo la kwanza la hammer ( Mwaka1992 - 2002) chini ya kampuni ya kimarekani AM General baadae GM.
Gari hili lilitengenezwa mahususi kwa matumizi ya kijeshi, pia zilitoka models kwa ajili ya raia wa kawaida kutokana na demand kubwa.