N NANGA WA DEPO JF-Expert Member Joined Oct 8, 2014 Posts 917 Reaction score 1,201 Jul 6, 2020 #41 Chuki binafsi hizi
smaki JF-Expert Member Joined Jan 23, 2019 Posts 4,976 Reaction score 3,098 Oct 27, 2020 #42 dmkali said: Kuna watu wamepinda nyie acheni. Pamoja na mkwara wa waziri mkuu lakini wapi! SHANGINGI hilo, jana usiku mtu kalewa nalo chakali! View attachment 1498150 Click to expand... Yote matumizi acha fitina za kizaramo!
dmkali said: Kuna watu wamepinda nyie acheni. Pamoja na mkwara wa waziri mkuu lakini wapi! SHANGINGI hilo, jana usiku mtu kalewa nalo chakali! View attachment 1498150 Click to expand... Yote matumizi acha fitina za kizaramo!
smaki JF-Expert Member Joined Jan 23, 2019 Posts 4,976 Reaction score 3,098 Oct 27, 2020 #43 Ulimbo said: Hiyo picha haiwezi kutushawishi kuamini kuwa huyo mtu alienda kulewa. Tunaomba kama una maelezo au ushahidi zaidi ikiwa ni pamoja na majina ya huyo mtu uweke hapa ili watu wawezekuhukumu au kutokuhukumu muhusika Click to expand... Rafiki wa kiswahili wabaya sana hapa huyu kanyimwa Bia, akanuna. ukichunguza ni rafiki yake wa karibu amepiga hii picha
Ulimbo said: Hiyo picha haiwezi kutushawishi kuamini kuwa huyo mtu alienda kulewa. Tunaomba kama una maelezo au ushahidi zaidi ikiwa ni pamoja na majina ya huyo mtu uweke hapa ili watu wawezekuhukumu au kutokuhukumu muhusika Click to expand... Rafiki wa kiswahili wabaya sana hapa huyu kanyimwa Bia, akanuna. ukichunguza ni rafiki yake wa karibu amepiga hii picha
MIGUGO JF-Expert Member Joined Dec 3, 2011 Posts 2,137 Reaction score 3,931 Jul 21, 2023 #44 Kwa raha zao.Yaani sasa hivi wanakuwa na plate namba za kiraia. Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Kwa raha zao.Yaani sasa hivi wanakuwa na plate namba za kiraia. Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Rashidi Jololo JF-Expert Member Joined Sep 21, 2022 Posts 1,704 Reaction score 2,858 Jul 21, 2023 #45 Waziri Dugange yuko wapi?
Yesu Anakuja JF-Expert Member Joined Apr 10, 2019 Posts 12,675 Reaction score 25,924 Jul 29, 2023 #46 dmkali said: Kuna watu wamepinda nyie acheni. Pamoja na mkwara wa waziri mkuu lakini wapi! SHANGINGI hilo, jana usiku mtu kalewa nalo chakali! View attachment 1498150 Click to expand... si ukute alikuwa safari mkoani, amefanya kazi hadi usiku, akasema aende apate msosi. usimhukumu kwanza.
dmkali said: Kuna watu wamepinda nyie acheni. Pamoja na mkwara wa waziri mkuu lakini wapi! SHANGINGI hilo, jana usiku mtu kalewa nalo chakali! View attachment 1498150 Click to expand... si ukute alikuwa safari mkoani, amefanya kazi hadi usiku, akasema aende apate msosi. usimhukumu kwanza.