NANGA WA DEPO
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 917
- 1,201
Chuki binafsi hizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yote matumizi acha fitina za kizaramo!Kuna watu wamepinda nyie acheni. Pamoja na mkwara wa waziri mkuu lakini wapi!
SHANGINGI hilo, jana usiku mtu kalewa nalo chakali!
View attachment 1498150
Rafiki wa kiswahili wabaya sana hapa huyu kanyimwa Bia, akanuna. ukichunguza ni rafiki yake wa karibu amepiga hii pichaHiyo picha haiwezi kutushawishi kuamini kuwa huyo mtu alienda kulewa.
Tunaomba kama una maelezo au ushahidi zaidi ikiwa ni pamoja na majina ya huyo mtu uweke hapa ili watu wawezekuhukumu au kutokuhukumu muhusika
si ukute alikuwa safari mkoani, amefanya kazi hadi usiku, akasema aende apate msosi. usimhukumu kwanza.Kuna watu wamepinda nyie acheni. Pamoja na mkwara wa waziri mkuu lakini wapi!
SHANGINGI hilo, jana usiku mtu kalewa nalo chakali!
View attachment 1498150