Picha: Genevieve , Omotola, waonana uso kwa uso

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Ikiwa rumors has it kuwa mastaa wakubwa nollywood, Genevieve Nnaji na omotola Jalade kuwa haziivi kwa muda mrefu, hvi karibuni mastaa hao walithibitisha uvumi huo si Kweli kama watu wanavyoeneza na wao wako poa tu hawana tatizo lolote.


Picha Mpya inayobamba zaidi kwenye kiwanda cha film nollywood na kwenye mitandao kwa sasa, ni picha iliyopigwa hvi karibuni katika sherehe ya kuzaliwa ambapo ilikutanisha mastaa wakali kutoka kwenye tasnia ya film nchini humo ambao wana mashabiki wengi na wanafanya vzur kwenye tasnia ya film .

Expandable in Nigeria , naweza kuita hivyo, Picha imejaa kila aina ya vitamin, pale omotola, Ritha Dominic , ini edo, Genevieve na omotola wakiwa wamejiachia kwenye picha ya pamoja na kuifanya picha hiyo izue gumzo kwenye mitandao ya kijamii.



Unlike Tanzania ambapo ni nadra sana kukuta mastaa wetu wakiwa kwenye picha ya pamoja na kufurahia kama ilivyo kwa wenzao huko nollywood , ni nadra sana kukuta picha ya wolper, Irene uwoya, aunty ezekiel, wema, lulu wakiwa kwenye picha moja au tu wakiwa kwenye event yeyote kwa pamoja na kufuraia
 
Vicheko vya picha na hiyo sherehe tu, moyoni kila mtu anamng'ong'a mwenzake....akili za wanawake za ajabu sana.
alafu wakitwanhyika kila mmmoja anamsema mwenzie
 
Mi nnachowapendea wanaija kujikubali,apo wangekua dada zetu make up heavy km wanaenda kuolewa kumbe birthday tu.
 
Hebu tuanzie kushoto kwenda kulia basi wengine tumeshawasahau
 
Wa Kawaida Sana Hao
Bila Ukarabati Hao Njiani Ukikutana Nao Huombi Hata Number
πŸ˜πŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜…πŸ˜†

"Mbaazi Ukikosa Maua Husingizia Jua"
 
Nani alikwambia kusuka Rasta Ni kijukataa...

Hivi utakaa na manywele haya ya kiafrika muda wote kichwani??

Wazungu, wahindi wenye minywele mirefuu bado wanaweka za bandia.

Acheni kujifanya mko natural sana.
Nancy Sumari,flavi,odemba always wako na short hair and they look very cute,hiyo mizigo ya maiti kichwani ni uchafu
 
Nancy Sumari,flavi,odemba always wako na short hair and they look very cute,hiyo mizigo ya maiti kichwani ni uchafu
Kitendo Cha kusema eti huwezi kaa na minywele ya kiafrica muda wote kichwani kinadhihirisha the highest level of insecurity and low self-esteem aliyonayo mtoa comment.Haiwezekani mtu ajichukie kwa kiwango hiko,inasikitisha sana.Africa, Tanzania my beloved country,mweh we still have a long way to go for sure.
 
Nani alikwambia kusuka Rasta Ni kijukataa...

Hivi utakaa na manywele haya ya kiafrika muda wote kichwani??

Wazungu, wahindi wenye minywele mirefuu bado wanaweka za bandia.

Acheni kujifanya mko natural sana.
Kwani kujikataa maana yake nini? Yaani nywele zako unaita manywele ya kiafrika halafu unasema hujikatai?
 
Binafsi sipendi kabisa mwanamke awe na hio minywele ya kupachika na magiwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…