warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Ikiwa rumors has it kuwa mastaa wakubwa nollywood, Genevieve Nnaji na omotola Jalade kuwa haziivi kwa muda mrefu, hvi karibuni mastaa hao walithibitisha uvumi huo si Kweli kama watu wanavyoeneza na wao wako poa tu hawana tatizo lolote.
Picha Mpya inayobamba zaidi kwenye kiwanda cha film nollywood na kwenye mitandao kwa sasa, ni picha iliyopigwa hvi karibuni katika sherehe ya kuzaliwa ambapo ilikutanisha mastaa wakali kutoka kwenye tasnia ya film nchini humo ambao wana mashabiki wengi na wanafanya vzur kwenye tasnia ya film .
Expandable in Nigeria , naweza kuita hivyo, Picha imejaa kila aina ya vitamin, pale omotola, Ritha Dominic , ini edo, Genevieve na omotola wakiwa wamejiachia kwenye picha ya pamoja na kuifanya picha hiyo izue gumzo kwenye mitandao ya kijamii.
Unlike Tanzania ambapo ni nadra sana kukuta mastaa wetu wakiwa kwenye picha ya pamoja na kufurahia kama ilivyo kwa wenzao huko nollywood , ni nadra sana kukuta picha ya wolper, Irene uwoya, aunty ezekiel, wema, lulu wakiwa kwenye picha moja au tu wakiwa kwenye event yeyote kwa pamoja na kufuraia