Picha: Genevieve , Omotola, waonana uso kwa uso

Picha: Genevieve , Omotola, waonana uso kwa uso

Hamna lolooote

Mtu akiwa na nywele zake amekata mnamwita mshamba ama msabato
Kwa hiyo huyu mwenye natural Ni mshamna
Neglect usupastar wake
gettyimages-474326667-1557786478.jpeg
 
Nani alikwambia kusuka Rasta Ni kijukataa...

Hivi utakaa na manywele haya ya kiafrika muda wote kichwani??

Wazungu, wahindi wenye minywele mirefuu bado wanaweka za bandia.

Acheni kujifanya mko natural sana.
Sawa ndugu mzungu.....lkn umeelewa kweli kwanini nimemjibu hivyo huyo mtu niliyom quote?
 
Kitendo Cha kusema eti huwezi kaa na minywele ya kiafrica muda wote kichwani kinadhihirisha the highest level of insecurity and low self-esteem aliyonayo mtoa comment.Haiwezekani mtu ajichukie kwa kiwango hiko,inasikitisha sana.Africa, Tanzania my beloved country,mweh we still have a long way to go for sure.
Asante sana,kweli unaona aibu kuwa na nywel zako za asili,kisa uzungu? hahahaa ndo mana anajiita englishlady ilihali kazaliwa kilwa kivinje ndani ndani huko
 
Nani alikwambia kusuka Rasta Ni kijukataa...

Hivi utakaa na manywele haya ya kiafrika muda wote kichwani??

Wazungu, wahindi wenye minywele mirefuu bado wanaweka za bandia.

Acheni kujifanya mko natural sana.
Serikali iko mbioni kupiga marufuku matumizi na uingizwaji wa mawigi nchini.

lazima muwe natural safari hii.
 
Taarifa zilizotufikia ni kwamba mtoto Genevieve ashafikisha legal age hivyo anafaa kwa kutumikia taifa lao.
 
Hujiamini tu, kwa hivyo appearance yako inategemea na wanaume tunasemaje?
Mimi Niko natural hata dawa sijaweka.

Nazungumzia ukweli halisi.

Huwa wanaume wanajidai kuwa hawawataki wavaa mawigi lkn ndio wanaowatongoza kila siku na sijaona mwanaume akimkataza mkewe ama mpenziwe asitumie hizo nywele ndio kwanza huwapa hela wakanunue.
 
Back
Top Bottom