Englishlady
JF-Expert Member
- Apr 11, 2013
- 2,736
- 3,644
Hamna loloooteBinafsi sipendi kabisa mwanamke awe na hio minywele ya kupachika na magiwi
Mtu akiwa na nywele zake amekata mnamwita mshamba ama msabato
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna loloooteBinafsi sipendi kabisa mwanamke awe na hio minywele ya kupachika na magiwi
Kwa hiyo huyu mwenye natural Ni mshamnaHamna lolooote
Mtu akiwa na nywele zake amekata mnamwita mshamba ama msabato
Kabisa my dearKwani kuitwa manywele ndio kujikataa??
Uwiiiii
Kwa hiyo huyu mwenye natural Ni mshamna
Neglect usupastar wakeView attachment 1111845
Hujiamini tu, kwa hivyo appearance yako inategemea na wanaume tunasemaje?Ndio mnavyosemaga
Huyo kwakuwa Ni supa staa hata akifanyaje mtasifia tu
Ndio yupi hapoGenevieve ndiyo amekua mzee namna hiyo na nywele zake za maiti??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hujiamini tu, kwa hivyo appearance yako inategemea na wanaume tunasemaje?
Sawa ndugu mzungu.....lkn umeelewa kweli kwanini nimemjibu hivyo huyo mtu niliyom quote?Nani alikwambia kusuka Rasta Ni kijukataa...
Hivi utakaa na manywele haya ya kiafrika muda wote kichwani??
Wazungu, wahindi wenye minywele mirefuu bado wanaweka za bandia.
Acheni kujifanya mko natural sana.
Asante sana,kweli unaona aibu kuwa na nywel zako za asili,kisa uzungu? hahahaa ndo mana anajiita englishlady ilihali kazaliwa kilwa kivinje ndani ndani hukoKitendo Cha kusema eti huwezi kaa na minywele ya kiafrica muda wote kichwani kinadhihirisha the highest level of insecurity and low self-esteem aliyonayo mtoa comment.Haiwezekani mtu ajichukie kwa kiwango hiko,inasikitisha sana.Africa, Tanzania my beloved country,mweh we still have a long way to go for sure.
Serikali iko mbioni kupiga marufuku matumizi na uingizwaji wa mawigi nchini.Nani alikwambia kusuka Rasta Ni kijukataa...
Hivi utakaa na manywele haya ya kiafrika muda wote kichwani??
Wazungu, wahindi wenye minywele mirefuu bado wanaweka za bandia.
Acheni kujifanya mko natural sana.
Huyo Rita Dominick amekula pesa yangu sana nikiwa Abuja
ThubutuuuSerikali iko mbioni kupiga marufuku matumizi na uingizwaji wa mawigi nchini.
lazima muwe natural safari hii.
Mtaandamana ?Thubutuuu
Mimi Niko natural hata dawa sijaweka.Hujiamini tu, kwa hivyo appearance yako inategemea na wanaume tunasemaje?
Ha ha ha ha haMtaandamana ?