Picha: Genevieve , Omotola, waonana uso kwa uso

Je wanawake wanajiremba ili wapendeze au ili wawavutie wanaume au yote mawili ?
 
Ritha au tontoh diker
Oge Okoye&Chika Ike,
Kule Ghana kuna Nadia Buari;Martha Ankomah; Julieth Ibrahim; Yvone Nelson; Yvone Okoro&Jackie Appiah.....
Maisha yanaenda kasi sana eti hawa wote now ni kina Mama watu wazima[emoji5][emoji5]
 
Hapa utawasingizia bure wanaume tukubaliane jibu moja WANAWAKE MNA MAMBO MENGI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…