Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Je wanawake wanajiremba ili wapendeze au ili wawavutie wanaume au yote mawili ?Mimi Niko natural hata dawa sijaweka.
Nazungumzia ukweli halisi.
Huwa wanaume wanajidai kuwa hawawataki wavaa mawigi lkn ndio wanaowatongoza kila siku na sijaona mwanaume akimkataza mkewe ama mpenziwe asitumie hizo nywele ndio kwanza huwapa hela wakanunue.