Picha: Gharama za kutuma hela ni kubwa sana

Kuna namna viongozi wetu wamewishiwa ubunifu WA mapato
 
Kuna namna viongozi wetu wamewishiwa ubunifu WA mapato
Watanzania wengi sana hawalipi kodi, biashara nyingi sana hazilipi kodi,zilipishwe kodi,pesa ikibadili mikono sharti pawe na kodi, niliona sehemu black market economy tz 44% ya gdp,just imagine!
 
Makato yamekuwa makubwa sana inaumiza wananchi!Bad news hatuna la kufanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…