Picha: Ghetto la ndege John

Naunga hoja miguu na mikono kwapazote mbili sio moja
Huyu ndege John nilikuwa nafikiri ni yule kapteni wetu mhamasishaji wa soka kipindi kile cha mechi.

Ila nilipoona viatu vyake vilivyo vikubwa nikajua kapteni mguu wake hauwezi kutosha humo.
 
Huyu ndege John nilikuwa nafikiri ni yule kapteni wetu mhamasishaji wa soka kipindi kile cha mechi.

Ila nilipoona viatu vyake vilivyo vikubwa nikajua kapteni mguu wake hauwezi kutosha humo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu kwanza anaonekana tu anavyoonekana hawezi kuwa yule aysee.
 
bora ww umekuwa mkweli, kuna wengne wana fake hadi wanapoishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…