Mchimba Chumvi
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 2,244
- 5,500
Yes utadhani vimemwagwa sehemu hivi.Picha hizo nilifikiri vitu vimetupwa nje
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Kila mtu na ndoto zake na mipango yake..wewe Baki na hasira zako ukiua tafuta utajiri.. Mimi nimeridhika na fedha zanguWe jinga kweli ndio maana mnataka kuiweka ccm milele.. Yaani unaridhika na hiyo stoo eti chumba. Unaridhika na hivyo Viatu kama mtego wa kukamatia swala.
Hayo maisha inabidi yakupe hasira sio kuridhika ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila alipo kaka yako RRONDO lazima uwepo![emoji6][emoji6][emoji6]
Nitapikia humhumu ndani siku ikilipuka ndio siku yangu itakuwa imefikaKama likilipuka humo chumbani si bora kupikia nje mpendwa
Wewe ulitakaje kwani?Kila alipo kaka yako RRONDO lazima uwepo![emoji6][emoji6][emoji6]
Aisee naheshimu mawazo yako mpendwa Sawa nimekuelewa.Nitapikia humhumu ndani siku ikilipuka ndio siku yangu itakuwa imefika
Sent using Jamii Forums mobile app
Au basi car boot sale hahahahaHee hizi dharau [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani hahaaaaNinachokushukuru umeifanya asuhuh yangu iwe njema sana. Nimechekaaa [emoji2][emoji1][emoji23].
Huko ndani unapata hewa kweli?
Gesi ukapikie nje na huu upepo ?[emoji23][emoji23][emoji23]Kama likilipuka humo chumbani si bora kupikia nje mpendwa
Unanikumbusha ile nyimbo ya Uliza Kiatu. Na pia sema jumba langu. maana hapa hata demu hachomoki la maana sana
Natamani kuja kukutembelea. Na kwenye hizo rambo (mifuko) ndiyo masanduku ya nguo?Feni zipo ninayo na ya panga boiView attachment 1064916
Peace is overrated.Sahihi kabisa mkuu,
There is no greater wealth than peace of mind.
Kama walivyo vijana wengi na Mimi nimepanga Chumba mitaa fulani hapahapa mjini dar.nawakaribisha wote kunitembelea
Nimekuletea picha za chumba changu.chumba changu kimsingi kina vitu vingi kama vile stoo ila maisha ndo hivo yanaendelea View attachment 1064789View attachment 1064790View attachment 1064791View attachment 1064792View attachment 1064793
Bonge la Ghetto mkuu,afu mi nimependa hicho kideo kinaendana na hiyo raba yenye rangi nyeuoe na nyekundu hongera sana kamanda,kiubishiubishi tutalisonga tu.Kama walivyo vijana wengi na Mimi nimepanga Chumba mitaa fulani hapahapa mjini dar.nawakaribisha wote kunitembelea
Nimekuletea picha za chumba changu.chumba changu kimsingi kina vitu vingi kama vile stoo ila maisha ndo hivo yanaendelea View attachment 1064789View attachment 1064790View attachment 1064791View attachment 1064792View attachment 1064793
Kama ya yule uncle wa magogoni.,..alisema analala na mafaili kitandaniMafaili hayo hahahaha
Sent from my SM-G570F using Tapatalk