Zeus1
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 7,152
- 9,206
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Picha hizo nilifikiri vitu vimetupwa nje
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Picha hizo nilifikiri vitu vimetupwa nje
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Hivi mangwea alikuwa spesho Kwa kipi ? Maana Rip gwea haziishagiNa hilo ni la Dom tu acha la Dar// Ngwea na wanachamber squad tunapokaa//
R.I.P Ngwea
Sent from my iPhone using JamiiForums
Huwa sitongozi,sina muda mchafu
Kwani kusema fulani RIP lazima awe special?
How?
Dear nimekuhamu mimi 😍😍[emoji23][emoji23][emoji23]Mwenzio kapanga chumba kimoja jiko ataweka wapi si nyumba zote zina sehemu ya kupikia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna viumbe Wana roho mbaya ya korosho hadi kwa marehemuKwani kusema fulani RIP lazima awe special?
Mmmmh chuki ya wazi!!!
Na 65% ya Watanzania Ndo maisha yetu hayo.[emoji23][emoji23][emoji23]Mwenzio kapanga chumba kimoja jiko ataweka wapi si nyumba zote zina sehemu ya kupikia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe kutongoza ni muda mchafu....🙄🙄🙄😳Huwa sitongozi,sina muda mchafu
Khaa kumbe unafanyaje, unamwaga tu mahindi kuku anaingia bandani sio?Huwa sitongozi,sina muda mchafu
Nishazeeka nimeacha mambo hayoKhaa kumbe unafanyaje, unamwaga tu mahindi kuku anaingia bandani sio?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu kisicho na manufaa ni kupoteza muda,unaweza kufanya ukiwa na muda mchafuKumbe kutongoza ni muda mchafu....🙄🙄🙄😳
Kama walivyo vijana wengi na Mimi nimepanga Chumba mitaa fulani hapahapa mjini dar.nawakaribisha wote kunitembelea
Nimekuletea picha za chumba changu.chumba changu kimsingi kina vitu vingi kama vile stoo ila maisha ndo hivo yanaendelea View attachment 1064789View attachment 1064790View attachment 1064791View attachment 1064792View attachment 1064793
Masela wa hivi wana true Love sana na gemu zao si za kitoto.Na ndege John unakuta anaita demu aje gheto kwake..maisha kumbe sio magumu