Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
Kumbe kuna feni...basi shughuli zinakwenda kwa raha kabisa.Feni zipo ninayo na ya panga boiView attachment 1064916
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe kuna feni...basi shughuli zinakwenda kwa raha kabisa.Feni zipo ninayo na ya panga boiView attachment 1064916
Basi tutagongana hapo magetoni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Natamani kuja kukutembelea. Na kwenye hizo rambo (mifuko) ndiyo masanduku ya nguo?
Aisee!!!!tengua kauli kutongoza sio muda mchafu.Kitu kisicho na manufaa ni kupoteza muda,unaweza kufanya ukiwa na muda mchafu
KwakoAisee!!!!tengua kauli kutongoza sio muda mchafu.
Karibu Sana mkuu anytime ukijisikia na vinywaji tutaagiza dukani sio mbaliNimependa ndula hizo(viatu).Sijaona boksa.Ntakuja kukutembelea tupige story mbili tatu.[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Show show
Hayo maji machafu nimeloweka sufuriaWewe Jorowe unapika uji? nimezoom nikaona ivyo!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Uzuri wa kuishi gheto kama hilo ukiamka Mali zako unaziona zote kwa pamoja
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Jiko La gesi unaliweka chumbani mkuu uko serious na uhai wako kweli, ushauri wangu jitahidi usafi ni aibu mifuniko ya ndoo kuiweka juu ya godoro. Punguza kwenda kwenye mikutano ya ccm ufanye usafi ghetto.
Mkuu Kumbe Wana ccm wanaishi kwenye mazingira mchafu hivi 😅😅😅😅[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu huna gas wewe.Kama likilipuka humo chumbani si bora kupikia nje mpendwa
😀😀😀😀Hayo maji machafu nimeloweka sufuria
Analysis yako nimeipenda. Niliona tangu asubui, hata ukisoma hizo details za ktk kila picha details zinatofautiana. Hizo picha mbili za mwisho zinaweza kuwa ndiyo zake.Picha 1, 2 ,3 rangi ni pink na purple ( getto la msichana?) picha 4 & 5 rangi ingine ...
Hongera sana
.
Muongo kapatikana!![emoji81][emoji81][emoji81]