Picha: Gigy Money new looks

Demu kishachuja huyo,sijui lile shepu limeenda wapi,manake kipindi kile alikuwa akialikwa na Sam Misago ktk FNL zile nguo alizokuwa akivaa na ule mshepu mpaka watu wakawa wana lalamika kwa ajili ya mavazi yake.

Na mtizama sasa hivi naona mshepu hana kwa kivupi hana maajabu yoyote yale kawa wa kawaida.
 
Binamu mbona akiongea sauti kama spika mbovu
 
Giggy km giggy lol, ila kadamsheeeeeh
 
Demu ana sauti mbaya kama mlevi wa gongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…